Waziri wa fedha kasema kodi zote zimeishapitishwa na bunge hivyo yeye hawezi kufuta

Waziri Mheshimiwa Dkt. Mwigulu kasema kodi zote tayari zimepitishwa na Bunge hivyo hawezi kuziondoa hata kama tutapiga kelele usiku na mchana , kwa hiyo tutulie sindano iingie vizuri mpaka tuseme inyeeeeeee!!!!!
Ya Basil Pesambili Mramba 'Hata kama WaTanzania watakula nyasi ndege ya Mkapa lazima inunuliwe" (In Chaga lafudhi)
 
Bunge la Waendawazimu
Kweli kabisa wasingechagua spika mwenye faili Mirembe
FB_IMG_1626338666883.jpg
 
Waziri Mheshimiwa Dkt. Mwigulu kasema kodi zote tayari zimepitishwa na Bunge hivyo hawezi kuziondoa hata kama tutapiga kelele usiku na mchana , kwa hiyo tutulie sindano iingie vizuri mpaka tuseme inyeeeeeee!!!!!
Labda kweli lkn Mungu anao uwezo wa kuzifuta amini hivyo
 
Back
Top Bottom