Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
It's trueMikopo ya online huenda ni moja ya mbinu wanayotumia kutakatisha fedha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
It's trueMikopo ya online huenda ni moja ya mbinu wanayotumia kutakatisha fedha.
Upuuzi tu. Sasa kama wamewajua si wawatie ndani? Maana hadi kutoa kauli hii anawajua na ana ushahidi. Tanzania inawavuruga sana inavyostawi kiuchumi.🙏🙏🙏Waziri wa Fedha wa Kenya leo hii kasema kuna Vigogo Kenya wanapiga pesza za umma na baadae wanazileta Tanzania kuzitakatisha ba wakisha maliza kuzitakatisha wanazirudisha Kenya kwenda Kujenga Majengo.
![]()
Maana yake Tanzania ndio kituo cha Wezi wa Mali za Umma Kenya kuja kutakatishia pesa zao,na hii nu kutokana na siku hizi kuficha pesa Ulata kuwa ngumu kama ilivyo kuwa zamani.
Sasa je Wapigaji wa Tanzania wao wanaenda kutakatishia wapi pesa? au wao wanatakatishia humu humuhumu nchini ikiwemo kununua Vilabu vya Mpira wa miguu?
Hizi ni tuhuma nzito sana, na kama wa Kenya wanakuja kutakatishia pesa zao Tanzania, je wa Tanzania wanaenda takatishia wapi? Hili ni swali gumu.
Kenya imewekwa katika makundi ya wateja hatarishi katika mifumo ya kifedha na BOT na baadhi ya mamlaka za usimamizi wa mifumo ya fedha duniani.Waziri wa Fedha wa Kenya leo hii kasema kuna Vigogo Kenya wanapiga pesza za umma na baadae wanazileta Tanzania kuzitakatisha ba wakisha maliza kuzitakatisha wanazirudisha Kenya kwenda Kujenga Majengo.
![]()
Maana yake Tanzania ndio kituo cha Wezi wa Mali za Umma Kenya kuja kutakatishia pesa zao,na hii nu kutokana na siku hizi kuficha pesa Ulata kuwa ngumu kama ilivyo kuwa zamani.
Sasa je Wapigaji wa Tanzania wao wanaenda kutakatishia wapi pesa? au wao wanatakatishia humu humuhumu nchini ikiwemo kununua Vilabu vya Mpira wa miguu?
Hizi ni tuhuma nzito sana, na kama wa Kenya wanakuja kutakatishia pesa zao Tanzania, je wa Tanzania wanaenda takatishia wapi? Hili ni swali gumu.
Kuna wakati ni shida sana kuwaelewa nyie watanzania. Hapa ndio huwa namkumbuka FaizaFoxy kuwa huko shule mlienda kusomea ujinga? Hao wanaowaambia mtunge Sheria za money laundering wao ndio biashara kubwa wanayofanya. Hivi mnadhani kwenye hizo vita wanazopigana, Dola na madhahabu wanayokuta wanafanyia nini?Tanzania ni shamba la bibi...
Tanzania ni jalala......
Tanzania ni bongolala....
Tanzania ni mtambo wa kutakatishia pesa chafu....
Hata wewe unanasa mtego huu? Anayetuhumu ndio mwenye wajibu wa kuthibitisha, sasa Tanzania ijibu nini. By the way, nitakuwa wa mwisho duniani kukubaliana na ujinga wa Sheria ya money laundering. Ni mtego tu wa mabeberu lakini in reality wao ndo vinara wa hizo pesa.Serikali ya Tanzania ina cha kujibu hapa.
This is some serious money laundering allegation.
Si kuwabalasa kina Nifer tu.
Kuna wakati ni shida sana kuwaelewa nyie watanzania. Hapa ndio huwa namkumbuka FaizaFoxy kuwa huko shule mlienda kusomea ujinga? Hao wanaowaambia mtunge Sheria za money laundering wao ndio biashara yao kubwa wanayofanya. Hivi mnadhani kwenye hizo vita wanazopigana, Dola na madhahabu wanayoyakuta wanafanyia nini?Aibu kubwa sana hii!
Chief Godlove ni nani?Waziri wa Fedha wa Kenya leo hii kasema kuna Vigogo Kenya wanapiga pesza za umma na baadae wanazileta Tanzania kuzitakatisha ba wakisha maliza kuzitakatisha wanazirudisha Kenya kwenda Kujenga Majengo.
![]()
Maana yake Tanzania ndio kituo cha Wezi wa Mali za Umma Kenya kuja kutakatishia pesa zao,na hii nu kutokana na siku hizi kuficha pesa Ulata kuwa ngumu kama ilivyo kuwa zamani.
Sasa je Wapigaji wa Tanzania wao wanaenda kutakatishia wapi pesa? au wao wanatakatishia humu humuhumu nchini ikiwemo kununua Vilabu vya Mpira wa miguu?
Hizi ni tuhuma nzito sana, na kama wa Kenya wanakuja kutakatishia pesa zao Tanzania, je wa Tanzania wanaenda takatishia wapi? Hili ni swali gumu.
Serikali ya Tanzania inatakiwa kujibu hata kama jibu ni kusema inahitaji details na anayetuhumu ndiye ana wajibu wa kuthibitisha.Hata wewe unanasa mtego huu? Anayetuhumu ndio mwenye wajibu wa kuthibitisha, sasa Tanzania ijibu nini. By the way, nitakuwa wa mwisho duniani kukubaliana na ujinga wa Sheria ya money laundering. Ni mtego tu wa mabeberu lakini in reality wao ndo vinara wa hizo pesa.
Yaani umepokea mwekezaji wa kigeni harafu unaanza kumhoji vyanzo vya pesaMaana yake huku wanakuja na pesa chafu na wanapokelewa, hakuna kuulizwa vyanzo vya pesa zao
Hija ya mjinga hiiiYeye kajuaje kama naye si mtakatishaji
Ni kweliSerikali ya Tanzania inatakiwa kujibu hata kama jibu ni kusema inahitaji details na anayetuhumu ndiye ana wajibu wa kuthibitisha.
Si kukaa kimya.
Huelewi wapi?
Huyo mjaluo mbadi,analewa madaraka,anaanza kuropoka hovyohovyo,akumbuke hicho cheo kakipata kwa hisani ya makubaliano ya baba raila na mwizi ruto,na mwizi mkubwa nchini kenya ni ruto ambae kawekeza sana tanzaniaWaziri wa Fedha wa Kenya leo hii kasema kuna Vigogo Kenya wanapiga pesza za umma na baadae wanazileta Tanzania kuzitakatisha ba wakisha maliza kuzitakatisha wanazirudisha Kenya kwenda Kujenga Majengo.
![]()
Maana yake Tanzania ndio kituo cha Wezi wa Mali za Umma Kenya kuja kutakatishia pesa zao,na hii nu kutokana na siku hizi kuficha pesa Ulata kuwa ngumu kama ilivyo kuwa zamani.
Sasa je Wapigaji wa Tanzania wao wanaenda kutakatishia wapi pesa? au wao wanatakatishia humu humuhumu nchini ikiwemo kununua Vilabu vya Mpira wa miguu?
Hizi ni tuhuma nzito sana, na kama wa Kenya wanakuja kutakatishia pesa zao Tanzania, je wa Tanzania wanaenda takatishia wapi? Hili ni swali gumu.
Kumbe Bongo kama Dubai, SA, Mauritius, Seyshells, Barbados...Waziri wa Fedha wa Kenya leo hii kasema kuna Vigogo Kenya wanapiga pesza za umma na baadae wanazileta Tanzania kuzitakatisha ba wakisha maliza kuzitakatisha wanazirudisha Kenya kwenda Kujenga Majengo.
![]()
Maana yake Tanzania ndio kituo cha Wezi wa Mali za Umma Kenya kuja kutakatishia pesa zao,na hii nu kutokana na siku hizi kuficha pesa Ulata kuwa ngumu kama ilivyo kuwa zamani.
Sasa je Wapigaji wa Tanzania wao wanaenda kutakatishia wapi pesa? au wao wanatakatishia humu humuhumu nchini ikiwemo kununua Vilabu vya Mpira wa miguu?
Hizi ni tuhuma nzito sana, na kama wa Kenya wanakuja kutakatishia pesa zao Tanzania, je wa Tanzania wanaenda takatishia wapi? Hili ni swali gumu.
Uhuru ni Waziri?Inaweza kuwa kweli kabisa
Maana kila tajiri wa Kenya familia yake iko Tanzania kuanzia Uhuru, jaguar, prezoo na mawaziri wengi wa Kenya wana familia zao Tanzania