Waziri wa fedha Kenya: Kuna Wakenya wanapiga pesa za Umma wanaenda kuzitakatishia Tanzania na baadae wanarudisha Kenya

Waziri wa Fedha wa Kenya leo hii kasema kuna Vigogo Kenya wanapiga pesza za umma na baadae wanazileta Tanzania kuzitakatisha ba wakisha maliza kuzitakatisha wanazirudisha Kenya kwenda Kujenga Majengo.
screenshot_20241118_171844_com-facebook-katana-jpg.3155590

Maana yake Tanzania ndio kituo cha Wezi wa Mali za Umma Kenya kuja kutakatishia pesa zao,na hii nu kutokana na siku hizi kuficha pesa Ulata kuwa ngumu kama ilivyo kuwa zamani.

Sasa je Wapigaji wa Tanzania wao wanaenda kutakatishia wapi pesa? au wao wanatakatishia humu humuhumu nchini ikiwemo kununua Vilabu vya Mpira wa miguu?

Hizi ni tuhuma nzito sana, na kama wa Kenya wanakuja kutakatishia pesa zao Tanzania, je wa Tanzania wanaenda takatishia wapi? Hili ni swali gumu.
Upuuzi tu. Sasa kama wamewajua si wawatie ndani? Maana hadi kutoa kauli hii anawajua na ana ushahidi. Tanzania inawavuruga sana inavyostawi kiuchumi.🙏🙏🙏
 
Waziri wa Fedha wa Kenya leo hii kasema kuna Vigogo Kenya wanapiga pesza za umma na baadae wanazileta Tanzania kuzitakatisha ba wakisha maliza kuzitakatisha wanazirudisha Kenya kwenda Kujenga Majengo.
screenshot_20241118_171844_com-facebook-katana-jpg.3155590

Maana yake Tanzania ndio kituo cha Wezi wa Mali za Umma Kenya kuja kutakatishia pesa zao,na hii nu kutokana na siku hizi kuficha pesa Ulata kuwa ngumu kama ilivyo kuwa zamani.

Sasa je Wapigaji wa Tanzania wao wanaenda kutakatishia wapi pesa? au wao wanatakatishia humu humuhumu nchini ikiwemo kununua Vilabu vya Mpira wa miguu?

Hizi ni tuhuma nzito sana, na kama wa Kenya wanakuja kutakatishia pesa zao Tanzania, je wa Tanzania wanaenda takatishia wapi? Hili ni swali gumu.
Kenya imewekwa katika makundi ya wateja hatarishi katika mifumo ya kifedha na BOT na baadhi ya mamlaka za usimamizi wa mifumo ya fedha duniani.

Hivyo hii siyo habari ya kustajaabisha, labda ni vile wao wenyewe wamekiri.
 
Tanzania ni shamba la bibi...
Tanzania ni jalala......
Tanzania ni bongolala....
Tanzania ni mtambo wa kutakatishia pesa chafu....
Kuna wakati ni shida sana kuwaelewa nyie watanzania. Hapa ndio huwa namkumbuka FaizaFoxy kuwa huko shule mlienda kusomea ujinga? Hao wanaowaambia mtunge Sheria za money laundering wao ndio biashara kubwa wanayofanya. Hivi mnadhani kwenye hizo vita wanazopigana, Dola na madhahabu wanayokuta wanafanyia nini?
 
Serikali ya Tanzania ina cha kujibu hapa.

This is some serious money laundering allegation.

Si kuwabalasa kina Nifer tu.
Hata wewe unanasa mtego huu? Anayetuhumu ndio mwenye wajibu wa kuthibitisha, sasa Tanzania ijibu nini. By the way, nitakuwa wa mwisho duniani kukubaliana na ujinga wa Sheria ya money laundering. Ni mtego tu wa mabeberu lakini in reality wao ndo vinara wa hizo pesa.
 
Aibu kubwa sana hii!
Kuna wakati ni shida sana kuwaelewa nyie watanzania. Hapa ndio huwa namkumbuka FaizaFoxy kuwa huko shule mlienda kusomea ujinga? Hao wanaowaambia mtunge Sheria za money laundering wao ndio biashara yao kubwa wanayofanya. Hivi mnadhani kwenye hizo vita wanazopigana, Dola na madhahabu wanayoyakuta wanafanyia nini?

Afrika kila siku inalia na wezi wa Fedha za umma wanaenda kufungua akauti huko kwao nje, ulisikia siku moja Sheria ya money laundering wakiitumia ili kuokoa pesa zetu? Money laundering moja ya Sheria za kipuuzi kabisa kuzuia maendeleo ya Afrika.
 
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA, Bw. Yusuph Mwenda akisikiliza hotuba ya CS John Mbadi waziri wa hazina iliyojaa mambo mazito

View: https://m.youtube.com/watch?v=tg_04FE_Fpo
Wizara ya Hazina ya Jamhuri ya Kenya imehakikisha kuwa inachukua juhudi za makusudi katika kupunguza ufisadi na kuboresha ufanisi katika ukusanyaji na utekelezaji wa kodi ili nchi ijiwekee akiba katika kugharamia majukumu yake ya kifedha.

Waziri Hazina ya Kitaifa na Mipango ya Kiuchumi John Mbadi anasema Kenya inafaa kuboresha ukusanyaji wake wa mapato ya ndani ikiwa itatimiza majukumu yake ya kifedha kila mwaka wa kifedha....

Waziri huyo John Mbadi alifichua hayo alipokuwa akizungumza katika siku ya pili ya mkutano wa 52 wa Makamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Afrika Mashariki (EARACG) jijini Nairobi, ulioandaliwa na Mamlaka ya Ushuru nchini Kenya (KRA).

John Mbadi alikariri matamshi yaliyotolewa awali na aliyekuwa Rais Uhuru Kenyatta kwamba nchi inapoteza Ksh2 bilioni kila siku kutokana na wizi wa pesa za umma.
 
Waziri wa Fedha wa Kenya leo hii kasema kuna Vigogo Kenya wanapiga pesza za umma na baadae wanazileta Tanzania kuzitakatisha ba wakisha maliza kuzitakatisha wanazirudisha Kenya kwenda Kujenga Majengo.
screenshot_20241118_171844_com-facebook-katana-jpg.3155590

Maana yake Tanzania ndio kituo cha Wezi wa Mali za Umma Kenya kuja kutakatishia pesa zao,na hii nu kutokana na siku hizi kuficha pesa Ulata kuwa ngumu kama ilivyo kuwa zamani.

Sasa je Wapigaji wa Tanzania wao wanaenda kutakatishia wapi pesa? au wao wanatakatishia humu humuhumu nchini ikiwemo kununua Vilabu vya Mpira wa miguu?

Hizi ni tuhuma nzito sana, na kama wa Kenya wanakuja kutakatishia pesa zao Tanzania, je wa Tanzania wanaenda takatishia wapi? Hili ni swali gumu.
Chief Godlove ni nani?
Mbona ana trend sana instagram?
Nilikutana naye Nairobi juzi kati hapa

Umeshaelewa, D 2 hazihitajiki
 
Hata wewe unanasa mtego huu? Anayetuhumu ndio mwenye wajibu wa kuthibitisha, sasa Tanzania ijibu nini. By the way, nitakuwa wa mwisho duniani kukubaliana na ujinga wa Sheria ya money laundering. Ni mtego tu wa mabeberu lakini in reality wao ndo vinara wa hizo pesa.
Serikali ya Tanzania inatakiwa kujibu hata kama jibu ni kusema inahitaji details na anayetuhumu ndiye ana wajibu wa kuthibitisha.

Si kukaa kimya.

Huelewi wapi?
 
Waziri wa Fedha wa Kenya leo hii kasema kuna Vigogo Kenya wanapiga pesza za umma na baadae wanazileta Tanzania kuzitakatisha ba wakisha maliza kuzitakatisha wanazirudisha Kenya kwenda Kujenga Majengo.
screenshot_20241118_171844_com-facebook-katana-jpg.3155590

Maana yake Tanzania ndio kituo cha Wezi wa Mali za Umma Kenya kuja kutakatishia pesa zao,na hii nu kutokana na siku hizi kuficha pesa Ulata kuwa ngumu kama ilivyo kuwa zamani.

Sasa je Wapigaji wa Tanzania wao wanaenda kutakatishia wapi pesa? au wao wanatakatishia humu humuhumu nchini ikiwemo kununua Vilabu vya Mpira wa miguu?

Hizi ni tuhuma nzito sana, na kama wa Kenya wanakuja kutakatishia pesa zao Tanzania, je wa Tanzania wanaenda takatishia wapi? Hili ni swali gumu.
Huyo mjaluo mbadi,analewa madaraka,anaanza kuropoka hovyohovyo,akumbuke hicho cheo kakipata kwa hisani ya makubaliano ya baba raila na mwizi ruto,na mwizi mkubwa nchini kenya ni ruto ambae kawekeza sana tanzania
 
Waziri wa Fedha wa Kenya leo hii kasema kuna Vigogo Kenya wanapiga pesza za umma na baadae wanazileta Tanzania kuzitakatisha ba wakisha maliza kuzitakatisha wanazirudisha Kenya kwenda Kujenga Majengo.
screenshot_20241118_171844_com-facebook-katana-jpg.3155590

Maana yake Tanzania ndio kituo cha Wezi wa Mali za Umma Kenya kuja kutakatishia pesa zao,na hii nu kutokana na siku hizi kuficha pesa Ulata kuwa ngumu kama ilivyo kuwa zamani.

Sasa je Wapigaji wa Tanzania wao wanaenda kutakatishia wapi pesa? au wao wanatakatishia humu humuhumu nchini ikiwemo kununua Vilabu vya Mpira wa miguu?

Hizi ni tuhuma nzito sana, na kama wa Kenya wanakuja kutakatishia pesa zao Tanzania, je wa Tanzania wanaenda takatishia wapi? Hili ni swali gumu.
Kumbe Bongo kama Dubai, SA, Mauritius, Seyshells, Barbados...
Kudos....
 
Waca waniletee mimi niwasaidie kuzitakatisha, wakenya ibeni tu huko mzilete Tanzania kuliko kuzipeleka mbali Ulaya.
 
Back
Top Bottom