RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,788
- 4,401
Wananchi wanaumia kwa sababu yako na tozo zako ambazo pamoja na kuzichukua zinawanufaisha nyie na familia yenu na kikundi chenu.
Acha kudhalilisha bendera yetu kwa kuwaumiza wanachi na matozo ya kila aina mmekosa ubunifu bidhaa zimepanda bei bado unaendelea kuweka tozo hivi wewe na serikali yako hamuoni aibu, tembea mtaani hasa vijijini muone maisha yanavyochapa watu.
Asubuhi ukiamka wewe hujui njaa mda wote kiuno kipo kwenye V8 na kiyoyozi kumbuka hayo yote hamuwezi kuyapata bila wananchi oneni huruma muwapunguzie mzigo wananchi.