On This One
JF-Expert Member
- Nov 30, 2021
- 532
- 469
Rais ajaye mwigulu mzalendo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwigulu ni Homa ya Taifa hasa nafasi aliyonayo.Huwa nikiliona na hizo tai za bendera ya taifa natamani kutapika kabisa na vindevu vyake vya kama limeuma kuku. Ila haya yana mwisho, wana CCM tunapitia kipindi kigumu mno. Rais Samia ondoa hii takataka weka Dkt Ashatu Kijaji awe waziri wa Fedha na Mipango
Rais ajaye mwigulu mzalendo
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kama hajui kuandika barua aseme tumsaidie kuandika barua ya kujiuzulu
shida cio mama shida ni washauri wake wa uchumiShida sio Mwigulu, shida ni yule mama.
Mama haelewi anafanya nini.
Ni tatizo.
Mnamkwepa mama tozo?Huwa nikiliona na hizo tai za bendera ya taifa natamani kutapika kabisa na vindevu vyake vya kama limeuma kuku. Ila haya yana mwisho, wana CCM tunapitia kipindi kigumu mno. Rais Samia ondoa hii takataka weka Dkt Ashatu Kijaji awe waziri wa Fedha na Mipango
Inauma sana100% jana naweka mafuta ya 20k inakuja risiti ni lita 5.6. Then wanatumia bei ya nchi ambazo uchumi uko juu kufanya justication ya wizi wao.
Mshamba tuu, na lilivyo jeupe km kitimoto poriAtakuwa anaambiwa na mke wake. Kichwa ngumu tu
mwigulu kila nikimuona nahisi nimeona mtu katili, jeuri na kiburi mwenye majivuno na asiye jali wengine anaye jiona yeye yuko smart na anajua mambo ya uchumi zaid ya Rais na mawaziri wengine wote ni mtu mwenye mipango yake miovu ya siri sana, kifupi mwigulu hana nia njema na mama samia ingawa mama anamuamini sana na mwigulu anajiaminisha kwa mama.Ni kweli, Nchemba ni kiazi, kila wizara aliyopita ni majanga matupu. Lakini bado CCM wana recycle na ku re-use!
Maza pia abebe some responsibilies, huu uovu unafanywa kwa jina la serikali yake.