Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba tunaomba uachane na uvaaji wa tai zenye rangi ya bendera ya Tanzania

Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba tunaomba uachane na uvaaji wa tai zenye rangi ya bendera ya Tanzania

Jana usiku wa manane nimeota kuwa nchi inaongozwa na Mapaka😁😁😁
View attachment 2328351
IMG_20220819_133557.jpg
 
Wananchi wanaumia kwa sababu yako na tozo zako ambazo pamoja na kuzichukua zinawanufaisha nyie na familia yenu na kikundi chenu.

Acha kudhalilisha bendera yetu kwa kuwaumiza wanachi na matozo ya kila aina mmekosa ubunifu bidhaa zimepanda bei bado unaendelea kuweka tozo hivi wewe na serikali yako hamuoni aibu, tembea mtaani hasa vijijini muone maisha yanavyochapa watu.

Asubuhi ukiamka wewe hujui njaa mda wote kiuno kipo kwenye V8 na kiyoyozi kumbuka hayo yote hamuwezi kuyapata bila wananchi oneni huruma muwapunguzie mzigo wananchi.
Maisha binafsi ya Mwigulu wewe yanakuathiri vipi?

Achana kabisa na Comrede Mwigulu Rais wa Tanzania 2030..
 
[emoji48][emoji49][emoji49][emoji49][emoji49][emoji49][emoji49][emoji49][emoji49] mwigulu hatoshi kwenye wizara hiyo.
 
Huyu Mchunga Ng'ombe, tutafika tumechoka sana.
 

Attachments

  • 2865649427090887744.mp4
    781.7 KB
Uchumi wa Tanzania unafikirisha sana. Mikopo mingi, tozo nyingi!
 
Bora hata lile zezeta la Mwibara linalotembea na ilani linamshinda Lameck.
 
100% jana naweka mafuta ya 20k inakuja risiti ni lita 5.6. Then wanatumia bei ya nchi ambazo uchumi uko juu kufanya justication ya wizi wao.
Kwanza sijaelewa jomba, hivi kwa nini Zenji Bei ya mafuta ipo chini..
 
Jana katutukana tena.

Na Rais yupo kimya Waziri wake anatukana wananchi.
 
Bora ubwabwa
 

Attachments

  • Screenshot_20220819_173229.jpg
    Screenshot_20220819_173229.jpg
    53 KB · Views: 2
Back
Top Bottom