Naunga mkono hoja yan ningekuwa mchaw ningemroga iyo tai imnyongeWananchi wanaumia kwa sababu yako na tozo zako ambazo pamoja na kuzichukua zinawanufaisha nyie na familia yenu na kikundi chenu.
Acha kudhalilisha bendera yetu kwa kuwaumiza wanachi na matozo ya kila aina mmekosa ubunifu bidhaa zimepanda bei bado unaendelea kuweka tozo hivi wewe na serkali yako hamuoni aibu, tembea mtaani hasa vijijini muone maisha yanavyochapa watu.
Asubuhi ukiamka wewe hujui njaa mda wote kiuno kipo kwenye V8 na kiyoyozi kumbuka hayo yote hamuwezi kuyapata bila wananchi oneni huruma muwapunguzie mzigo wananchi.
Huwa nikiliona na hizo tai za bendera ya taifa natamani kutapika kabisa na vindevu vyake vya kama limeuma kuku. Ila haya yana mwisho, wana CCM tunapitia kipindi kigumu mno. Rais Samia ondoa hii takataka weka Dkt Ashatu Kijaji awe waziri wa Fedha na MipangoWananchi wanaumia kwa sababu yako na tozo zako ambazo pamoja na kuzichukua zinawanufaisha nyie na familia yenu na kikundi chenu.
Acha kudhalilisha bendera yetu kwa kuwaumiza wanachi na matozo ya kila aina mmekosa ubunifu bidhaa zimepanda bei bado unaendelea kuweka tozo hivi wewe na serkali yako hamuoni aibu, tembea mtaani hasa vijijini muone maisha yanavyochapa watu.
Asubuhi ukiamka wewe hujui njaa mda wote kiuno kipo kwenye V8 na kiyoyozi kumbuka hayo yote hamuwezi kuyapata bila wananchi oneni huruma muwapunguzie mzigo wananchi.
Mwigulu anajipambanua Kama daktari wa uchumi ambaye hapaswi kutiliwa mashaka.Shida inaanzia Kwa Bibi tozo mwenyewe maana kinachofanywa na huyo waziri wake wa fedha kina baraka zake