and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
Hamas linatajwa Kwa vifo tu. Sijui wameishia pumzi?Kwa mtaji huo, hamas ni wapuuzi maana kama wangalikuwa na akili, wangewaachia Mateka wote haraka ili Israel wakose sababu ya kuwatwanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamas linatajwa Kwa vifo tu. Sijui wameishia pumzi?Kwa mtaji huo, hamas ni wapuuzi maana kama wangalikuwa na akili, wangewaachia Mateka wote haraka ili Israel wakose sababu ya kuwatwanga
Kojoa urudi kulala. Hamas wenyewe wanakiri kuuliwa kwa vigogo wake, we nani upinge? Hayp mazishi wanazikwa watu gani? Punguza mahaba.Nitawaeleimisha kwasababu kuna tatizo la uelewa na Israel imefanikiwa sana kupumbaza watu
Kila siku jengo likipigwa na raia kufa IDF inasema imeua Viongozi wa Hamas. Kuanzia October hadi leo, hao Hamas walikuwa na viongozi wangapi?! Ni mbinu hizo zinatumika ili kuhalalisha mauaji katika maeneo ya Raia
hawajaanza leo,na hatawamalizanaona wale vigogo wa Hamas wanaliwa vichwa mmoja baada ya mwingine.
Tokea mwanzo Netanyahu alikua anazungumzia kuvamia Gaza na kuivunja Hamas. Kukuomboa mateka haikuwa hoja yake, hii kaanza kuigusia baada ya maandamano nchini kwake kutaka hao mateka warejeshwe.Iko hivi!
Israel hawataki kuokoa mateka wao kufanya sababu ya kuendelea kuuwa viongozi waandamizi wote wanaojihusisha kufadhili na ama kushabikia tu ugaidi
Israel tangu siku ya kwanza, walikuwa na uwezo wa kurudisha mateka wao, vile tu walikuwa wanatafuta kisababu mojawapo kijitokeze ili waichukue hiyo aridhi yote ya Gaza
Sasa wewe Mparestine uliyepo buza, andika uwezavyo hapa, ila ujue kabisa kwamba, Jews ni level za juu sana kwa watu aina ya waarabu
Wanaweza wakamaliza kwa kuwa huu uhasama ume escalate na kuanzia Hamas walipochukua uongozi wa Mji Gaza mwaka 2006 kutoka kwa Fatah.Kuua viongozi wa HAMAS hakutamaliza huo mgogoro bali wanaendeleza uchuki itayoendeleza vita.
Inaitwaje hiyo novelkweli mkumkuu mkuu baba! Black september lilikuwa kundi kubwa sana na lenye wasomi wazuri sana na well trained terrorist waliosomea patrice Lumumba college Urusi. Gold Mei aliliangamiza lote kwa kuwauwa viongozi wao mmoja mmoja. lumbuka yale mauaji ya july4th 1981 pale tuniasia ali[pouwawa Mohamed al wazir au Abu jihad kwa kupikwa risasi mia name mwilini mbele ya mke na watoto wanne wakiangalia kwa huzuni. Novel yake imetoka nimeisoma mara 124 bila kumaliza hamu ilivyo tamu!
Abu Jihad Kamanda wa Fatah, aliuliwa mwaka 1988 kwa kupigwa risasi na kachero wa MOSSAD Nahum Lev akiwa nyumbani kwake Tunisia.kweli mkumkuu mkuu baba! Black september lilikuwa kundi kubwa sana na lenye wasomi wazuri sana na well trained terrorist waliosomea patrice Lumumba college Urusi. Gold Mei aliliangamiza lote kwa kuwauwa viongozi wao mmoja mmoja. lumbuka yale mauaji ya july4th 1981 pale tuniasia ali[pouwawa Mohamed al wazir au Abu jihad kwa kupikwa risasi mia name mwilini mbele ya mke na watoto wanne wakiangalia kwa huzuni. Novel yake imetoka nimeisoma mara 124 bila kumaliza hamu ilivyo tamu!
Ayatollah wala hawatomgusa, wanamkatia tu matawi kama walivyofanya kwa mzee baba!!!(magu)Kimsingi hata Ayatollah Khamenei yupo kwenye radar, wanamcheki tu
Na anayeua kwa mabomu kama Putin ?Maandiko yanasema: Auaye kwa upanga naye atakufa kwa upanga.(Math.26:52)
Israel wanajua kumaliza tatizo ni kupambana na viongozi wakiisha hawa wako kuwadhibiti ni rahisi sana bila kumua kiongozi haujafanya lolotenaona wale vigogo wa Hamas wanaliwa vichwa mmoja baada ya mwingine.
Kwa akili zao hao jamaa unafikiri mateka watakua bado hai?Kwa mtaji huo, hamas ni wapuuzi maana kama wangalikuwa na akili, wangewaachia Mateka wote haraka ili Israel wakose sababu ya kuwatwanga
Ni ngumu kutumia akili yangu bali uhalisia. Wanaojua kama wako hai au wamekufa ni Hamas!Hamas linatajwa Kwa vifo tu. Sijui wameishia pumzi?
R.I.P Joshua mdogo wangu. Netanyahu anakulipia uliyotendewa hukuHamas wameziba shimo la panya na kipande cha mkate uliotiwa siagi,jamaa wanajikatia tu mapande wanavyotaka.
Wakitoka kwenye kile chumba chao wanamokaa sijui sita na yule binti mdogo mdogo kujadili nani amebaki kuwa nguvu ya kikundi wanaamua tu leo afe huyu kesho yule keshokutwa tukae tena tujue tutauwa yupi alimradi imekuwa mtihani kwa hamas.
Ama kweli Israel ni “Israel Mtoa Roho”
Naye ni hivo-hivo. Si uliona Raisi kilichompata na chopa lake?Na anayeua kwa mabomu kama Putin ?
Uchaguzi ulifanyika, msimamizi wa nje alikuwa Jimmy Carter , Rais wa Marekani. Jimmy amesema na ameandika akisisitiza kwamba Hamas walishinda uchaguzi kwa kura na kwa uhalali. Nenyanyahu alipenda ushindi wa Hamas ili kupata ''divide and rule' Wapalestina wasiungane, alifanikiwa kwa muda bila kujua alikuwa 'anafuga jini''. Kwa miaka yote takribani miaka 18 pesa za kuendesha Gaza zilitoka Israel na liyeidhinisha ni BibiWanaweza wakamaliza kwa kuwa huu uhasama ume escalate na kuanzia Hamas walipochukua uongozi wa Mji Gaza mwaka 2006 kutoka kwa Fatah.
Sijui kauli ipi unayosema. Rais Biden alipanga kukutana na mfalme Abdullah na Mahmoud Abbas.Ndiyo maana hata Mwenyekiti wa PLO Mahmoud Abbas anayeishi Ramalah West Bank yalipo makao makuu ya Mamlaka ya Palestine hajatia neno toka mauaji ya October 7, 2023
Magaidi ni watu wa aina gani? Nani anatoa hadhi ya ugaidi na nani anaiondoa?Huwezi kuwachekea magaidi ukitegemea watakupenda.
Ni either uwauwe ama wakumalize. Do or die
Sitachoka kuwasaidia vijana wetu wa Tanzania wasio na uwezo wa kusoma au kutafuta habarisisi hatushangai leo. Israel wakati wa Black september 1972 ililiiangamiza kundi lao lililokuwa hatari mara nne ya simba mwenye njaa chumbani. Mossad iliwauwa mmoja mmoja mpaka wa mwisho alikuwa Ali hassan salameh aliuwawa mwaka 1981 kwa bomu. Iran na Hamas lazima wajifunze kutumia UNO kudai haki na wala sio Mabavu mabavu ya mauaji kwa raia waso na hatia. kesho utasikia raha nyengine na keshokutwa na mtondo goooo!