Waziri wa Fedha: Ukitenguliwa kwenye nafasi za kuteuliwa urejee mshahara ule wa awali kabla hujateuliwa

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,336
Reaction score
4,731
Mtumishi wa Umma atakeyeteuliwa kwenye nafasi za kuteuliwa baadaye akatenguliwa nafasi aliyoteuliwa basi arejee kwenye mshahara ule wa awali kabla hajateuliwa.

Amesema kuwa kumlipa mtu mshahara wa nafasi ambayo hayupo tena (aliyokuwa ameteuliwa) ni kuwabebesha mzigo mkubwa Watanzania. Mtu akitenguliwa mara moja na mshahara alipwe ule wa nafasi aliyokuwa awali.
 
Mpaka Sasa Tanzania ina Wakurugenzi wa Halmashauri (DEDs) zaidi ya 1000 wakiwemo walioko kwenye post hizo na walioyenguliwa.
 
Itaanzia tarehe itakayopendekezwa
Hawa waliopo wataendelea kulamba dumu la asali
 
Back
Top Bottom