Waziri wa Kilimo nini kipo nyuma ya pazia? Mbezi ya Kimara maharage kilo 2000, unga 2000, mchele 2900

Kichwa Cha habari kipo wazi tunataka kujua vitu vinapanda bei chanzo ni Nini aise?
Mwendo kasi nao umepanda ingawa sio wizara Yako jaman!
Hivi wajameni mmemwelewa kweli? JF hata vichaa wanaandika thread? Ni kwamba hajui majukumu ya waziri wa kilimo au ndiyo nyaya zimeshakatika?
 
Nchi imefunguliwa ndio msemo wa kukwepa majukumu na uwajibikaji
 
Ni vizuri kuwa mfatiliaji kabla hujaongea mfano kwenye chakula serikali sasa hivi ndio imeanza kugawa mbolea za ruzuku, pembejeo na mbegu ili kumpunguzia mkulima gharama za kilimo angalau baada ya kuvuna unaweza kumwambia mkulima nilikusaidia moja mbili sasa tuuze hivi ili kupata ahueni lakini sio kwa mazao waliozalishga kwa gharama kubwa auze kwa bei ya kutupa kama rahisi wote tungelima
 
huku tabata kilo 3,800
IMG_20230104_175255_1.jpg
 
Kichwa cha habari kipo wazi tunataka kujua vitu vinapanda bei chanzo ni Nini aise?

Mwendo kasi nao umepanda ingawa sio wizara yako, jaman!
Maharage kilo 2,000/- duka gani.!!?? Au mi ndo sijaelewa fasihi..!? Maana huku sisi tupo na 3,800/- kwa kilo moja ya maharage
 
Kichwa cha habari kipo wazi tunataka kujua vitu vinapanda bei chanzo ni Nini aise?

Mwendo kasi nao umepanda ingawa sio wizara yako, jaman!
Moja mbolea nyingi inaagizwa toka nje na nje bei ni kubwa, mbili ukame watu hawakuzalisha sana kwahiyo serikali haiwezi kumuumiza mkulima wewe ulie mjini upate raha kila mmoja lazima anufaike na kazi anayoifanya
 
Ni vizuri kuwa mfatiliaji kabla hujaongea mfano kwenye chakula serikali sasa hivi ndio imeanza kugawa mbolea za ruzuku, pembejeo na mbegu ili kumpunguzia mkulima gharama za kilimo angalau baada ya kuvuna unaweza kumwambia mkulima nilikusaidia moja mbili sasa tuuze hivi ili kupata ahueni lakini sio kwa mazao waliozalishga kwa gharama kubwa auze kwa bei ya kutupa kama rahisi wote tungelima
Kwaiyo njaa inauma sasa, tusubirie mavuno ya miezi ijayo?
 
Kichwa cha habari kipo wazi tunataka kujua vitu vinapanda bei chanzo ni Nini aise?

Mwendo kasi nao umepanda ingawa sio wizara yako, jaman!
Ngoja nije huko kimara.kumbe vyakula bei chini namna hiyo
 
Wallah sasa hivi ukienda dukani na 10k ni kama una 1k. Shilingi imeshuka thamani balaa, ukinunua kilo ya sukari, kilo ya mchele, kilo ya maharage ndio buku teni imakata hivyo.

Hongera serikali ya awamu ya sita kwa kutufanya wote twende na bajeti sasa.
 
Back
Top Bottom