misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 14,244
- 10,073
Moja mbolea nyingi inaagizwa toka nje na nje beiWewe chawa, nionyeshe shamba la mama said kwanzaWewe mavuno yako yapo wapi? Kulima alime mwingine kwa gharama kubwa wewe uje tu kulialia bei kubwa. Nenda kalime msimu wa kilimo umefika ingia shambani ukalime.