Waziri wa Kilimo nini kipo nyuma ya pazia? Mbezi ya Kimara maharage kilo 2000, unga 2000, mchele 2900

Waziri wa Kilimo nini kipo nyuma ya pazia? Mbezi ya Kimara maharage kilo 2000, unga 2000, mchele 2900

mrudi vijijini wanapo lima mnalalamika nini
 
Mzee maharage kilo 2000!!!?😲😲😲 Nipe mawasiliano nije niyazoe yote kaka.
 
Mkuu wap umepata maharage kilo 2000? Yatakuwa ya wizi mkuu, leo nimefanya stock ya mwezi, maharage nimenunua kilo 3600, mchele super kilo 3500.

Maridhiano hayana chama
 
mrudi vijijini wanapo lima mnalalamika nini
Kumbe wewe ndio hujui mkuu...
Yaani ukiona vitu dar vimepanda bei basi ujue kijijini (mikoani)ni balaa zaidi.
Maana wakulima wanauzia walanguzi bei ya chini, wao wanakuja kununua baadae bei ya juu.
 
Acheni kulalamika . Kama vipi mje tulime wote
 
Huko bei ndogo mchele 3400,maharage 3500
 
Kichwa cha habari kipo wazi tunataka kujua vitu vinapanda bei chanzo ni Nini aise?

Mwendo kasi nao umepanda ingawa sio wizara yako, jaman!
Naomba unielekeze nataka gunia la maharage hiyo bei hata kijijini siyo hivyo mkuu
 
Kichwa cha habari kipo wazi tunataka kujua vitu vinapanda bei chanzo ni Nini aise?

Mwendo kasi nao umepanda ingawa sio wizara yako, jaman!
Nakukumbusha tu kua mvua zimeanza kunyesha kamata shamba ukalime ili uje utuuzie kwa bei chee chini ya hizo bei unazopigia kelele.
 
Kwaiyo njaa inauma sasa, tusubirie mavuno ya miezi ijayo?
Wewe mavuno yako yapo wapi? Kulima alime mwingine kwa gharama kubwa wewe uje tu kulialia bei kubwa. Nenda kalime msimu wa kilimo umefika ingia shambani ukalime.
 
Moja mbolea nyingi inaagizwa toka nje na nje bei ni kubwa, mbili ukame watu hawakuzalisha sana kwahiyo serikali haiwezi kumuumiza mkulima wewe ulie mjini upate raha kila mmoja lazima anufaike na kazi anayoifanya
Hiyo pesa ya mbolea ya ruzuku imetoka wapi kama siyo mijini? Watu wa mjini ni wadau wa kilimo hivyo wasikomolewe
 
Ss maharage kilo 2000 mnalalamika wakati baadhi ya mikoa maharage kilo3000 ,mchele nao 3000
 
Hivi wajameni mmemwelewa kweli? JF hata vichaa wanaandika thread? Ni kwamba hajui majukumu ya waziri wa kilimo au ndiyo nyaya zimeshakatika?
Ile bangi uliyoivutia chohoni haijakuisha fala wewe
 
Back
Top Bottom