Waziri wa Kilimo Profesa Adolf Mkenda anapaswa kujiuzulu kwa kutoa maamuzi yaliyopingwa na Rais Samia

Ngamanya Kitangalala

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2012
Posts
501
Reaction score
1,214
Ukisoma katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, kwenye ibara ya 54(3) inataja baraza la mawaziri ndio chombo kikuuu cha kikatiba cha kumshauri mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwenye mambo yanayohusu utekelezaji wa majukumu yake ya Urais

Sasa kama kuna mheshimiwa waziri anayeweza kuwa msimamo ambao NONSENSE kwa maslahi mapana ya nchi yetu, nadhani huyo mheshimiwa Waziri anapoteza sifa na uwezo wa kuendelea kuwa mjumbe wa chombo kikuu cha kumshauri mheshimiwa Rais wetu ( Baraza la mawaziri)

Kwa busara ya kawaida kabisa, mheshimiwa waziri huyo anapaswa kujiuzulu nafasi yake hiyo, na kutoa fursa kwa mheshimiwa Rais kuteua mtu mwingine anayeweza kumshauri vema kwa maslahi mapana ya nchi yetu.

Pia soma > Rais Samia: Tutanunua sukari kutoka Uganda
 
Kwa nini ajiuzuli? Eti kwa sababu SSH kasema uwamuzi auna matiki. Kwani hili ni tusi?
 
Kwa nchi zetu, kujiuzulu katika mazingira kama haya ni kuonyesha dharau kwa mamlaka yake ya uteuzi. Hivyo kwa usalama wake na wapendwa wake asijiuzulu asubili kufukuzwa (na hii ndiyo furaha ya mteuzi), lakini kama yuko tayari kupambana na mwenye mamlaka kupitia watu wasiojulikana basi na ajiuzulu.
 
Ukisoma katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, kwenye ibara ya 54(3) inataja baraza la mawaziri ndio chombo kikuuu cha kikatiba cha kumshauri mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwenye mambo yanayohusu utekelezaji wa majukumu yake ya Urais

Sasa kama kuna mheshimiwa waziri anayeweza kuwa msimamo ambao NONSENSE kwa maslahi mapana ya nchi yetu, nadhani huyo mheshimiwa Waziri anapoteza sifa na uwezo wa kuendelea kuwa mjumbe wa chombo kikuu cha kumshauri mheshimiwa Rais wetu ( Baraza la mawaziri)

Kwa busara ya kawaida kabisa, mheshimiwa waziri huyo anapaswa kujiuzulu nafasi yake hiyo, na kutoa fursa kwa mheshimiwa Rais kuteua mtu mwingine anayeweza kumshauri vema kwa maslahi mapana ya nchi yetu.

Pia soma > Rais Samia: Tutanunua sukari kutoka Uganda
Na alisema yupo tayari kujiuzulu kuliko kutoa kibali cha kuagiza sukari.
 
hatuna utamaduni wa kujiuzulu, tatizo watanzania tunachukulia uteuzi kama asante (kusaidiwa) - recall mzee wa jalalani.
 
Kwa nchi zetu, kujiuzulu katika mazingira kama haya ni kuonyesha dharau kwa mamlaka yake ya uteuzi. Hivyo kwa usalama wake na wapendwa wake asijiuzulu asubili kufukuzwa (na hii ndiyo furaha ya mteuzi), lakini kama yuko tayari kupambana na mwenye mamlaka kupitia watu wasiojulikana basi na ajiuzulu.
our society is such inferior
 
fear of the unknown - prof mzima atashindwa kuishi mjini? woga huu utaisha lini? aanze yeye wengine watafuata - ifike pahala hata hiyo mamlaka ya uteuzi iwe na staha basi, wateule wana familia na wanaheshimika kwenye jamii.
 
Kama kabudialitukanwa hadharani kua ni mpumbavu na akainuka kwa heshima kuchekelea, vipi huyo mwamba aone taabu hadi ajiuzulu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Prof, piga kazi banaa zile chaki kule chuo zingekua bureeeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787],ukizingatia ubunge wenyewee uliokota dodo chini ya muarobaini.
 
Back
Top Bottom