pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 19,034
- 15,246
Lkn kumwambia waziri wako tena ktk kadamnasi 'nonsense' ni utovu wa nidhamu kama kiongozi
Hana ujasiri huo kwani ubunge aliupata kwa wizi wa kura ulioratibiwa na vyombo vya dola.Prof. mzima unaambiwa nonsense na mtu mwenye shule ya mang'amung'amu!
Wallah ningejiuzulu!
Hizo ni changamoto za kawaida katika kazi.Ukiwa na tabia ya kususasusa utapata presha za bure.Bosi hanuniwi.Halafu usikute hata Mkenda alijua kuwa hiyo kauli Rais ataitoa Kwa maslahi mapana ya nchi.Tuwaache wapige kaziUkisoma katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, kwenye ibara ya 54(3) inataja baraza la mawaziri ndio chombo kikuuu cha kikatiba cha kumshauri mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwenye mambo yanayohusu utekelezaji wa majukumu yake ya Urais
Sasa kama kuna mheshimiwa waziri anayeweza kuwa msimamo ambao NONSENSE kwa maslahi mapana ya nchi yetu, nadhani huyo mheshimiwa Waziri
Angekuwa Mhehe tayari angekuwa amesha jinyonga
Ndugu watanzania tunaposema sukuma gang ni tatizo nchi hii muwe mnatuelewa. Ona sasa hili linyarugusu, mulemule ndani ya CCM yanabaguana.Wachaga wana balaa wanaelekea kupigwa chini tena
Nonsense ni tusi? SSH kasema hoja ya kukaa kununua sukari ya Uganda aina mashiko. (Nonsense)Prof. mzima unaambiwa nonsense na mtu mwenye shule ya mang'amung'amu!
Wallah ningejiuzulu!
Unaumwa weweRais Samia kapotoka kutoa lugha ya kipuuzi namna ile. Kaanza kupandisha mabega huyu mama
Hujui kuwa hilo ni tusi?Nonsense ni tusi? SSH kasema hoja ya kukaa kununua sukari ya Uganda aina mashiko. (Nonsense)
Labda alitamka tu bila kuelewa maana yake halisi na communication skills zake kubwa ni katika kiswahili tu, na anapofanya public, cummunicatation katika kiingereza huwa anasoma yaliyokwisha andikw; kwa bahati mbaya safari hii alizungumza bila kusoma, hivyo akatumia neno lolote lililokujwa kichwani mwake bila kuelewa implication yake."NON SENSE" NI LUGHA YA KIFEDHURI haikupaswa kutumika na Rais....Waziri mkuu,wa kilimo wapo sahihi...kutoruhusu kuagiza sukari bila ya ndani kutumika.
Hopeless. Hili ndilo tusi. La SSH sio kabisa. Nonsense...Unataka waziri muelewa, smart, na mwadilifu kiasi hicho ajiuzuru ili tuletewe midabwada kama kina Riziwani? Acheni kabisa huo mchezo, tunaye January anatosha kuwakilisha kundi la mawaziri hopeless kama hao.
Ukikimbia nchale, ukichimama nchale...[emoji1787]Kwa nchi zetu, kujiuzulu katika mazingira kama haya ni kuonyesha dharau kwa mamlaka yake ya uteuzi. Hivyo kwa usalama wake na wapendwa wake asijiuzulu asubili kufukuzwa (na hii ndiyo furaha ya mteuzi), lakini kama yuko tayari kupambana na mwenye mamlaka kupitia watu wasiojulikana basi na ajiuzulu.
Ila mkuu hawa wazee wanabusara zao ipo siku, unajua busara ya mtu inazuia hasira zake, huo ni ukomavu wa mafunzo ya kijasisi, ila ipo siku tutayaona wanayopanga wakitoka kutukanwa, tutayaona hadharani kama ilivyotokea , itatokea tu,Kama kabudialitukanwa hadharani kua ni mpumbavu na akainuka kwa heshima kuchekelea, vipi huyo mwamba aone taabu hadi ajiuzulu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Prof, piga kazi banaa zile chaki kule chuo zingekua bureeeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787],ukizingatia ubunge wenyewee uliokota dodo chini ya muarobaini.
Hujui kwann wanavumilia,Prof. mzima unaambiwa nonsense na mtu mwenye shule ya mang'amung'amu!
Wallah ningejiuzulu!