Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
ah kumbe aliyesema ni chalamila... basi sawaMh. Chalamila ametahadharisha kuwa Yuko Waziri anatafuta pesa nje ya nchi kwa ajili ya kugombea Urais 2025. Na Mkuu wa Mkoa Mmoja anajipanga pia. Ni akina Nani hawa? Itabidi ianzishwe Thread yake tuidadavue.
Chalamila anakili kuliko wewe ndo maana amepewa uongoziah kumbe aliyesema ni chalamila... basi sawa
waliokuambia wamekoseaMakamba anataka kuwa Rais wa kusaidiwa na Rostam. Na CCM 2025 watakuja na hoja ya kuwa Samia na yeye apite kwenye mchujo wa wajumbe. Yaani 2025 kuwe na uchanguzi wa ndani hoja ni kuwa Samia Rais lazima apitie kwenye chujio kama ilivyokuwa 2015.Kazi ipo.
Inawezekana kabisa. Inatakiwa tu wale watu muhimu wa CCM wamgeuke na walemtee hiyo hoja. Akibaki peke yake hatakuwa na jinsi. Kwanza wameshamsoma ni mwepesi. Sio jiwe kama Magu.waliokuambia wamekosea
hayo yote yatafanyika samia akiwa mwenyekiti wa chama na mkuu wa dola? hilo nalo ulikumbuke
wala hahitaji kuwa jiwe kumbuka tu kwamba samia ni wa kwao, na makamba pia wa kwao..... unajua kwann makamba yupo pale alipo? kitakachofanyika ni january kumuachia mama amalize kisha yeye achukue hapo baadae kwa sasa ccm ni ya msoga na rostam ni wa hukoInawezekana kabisa. Inatakiwa tu wale watu muhimu wa CCM wamgeuke na walemtee hiyo hoja. Akibaki peke yake hatakuwa na jinsi. Kwanza wameshamsoma ni mwepesi. Sio jiwe kama Magu.
Ingekuwa anafocus 2030 asingeanza sasa hivi maandalizi. Huyo anaangalia 2025wala hahitaji kuwa jiwe kumbuka tu kwamba samia ni wa kwao, na makamba pia wa kwao..... unajua kwann makamba yupo pale alipo? kitakachofanyika ni january kumuachia mama amalize kisha yeye achukue hapo baadae kwa sasa ccm ni ya msoga na rostam ni wa huko
kinachofanyika sasa ni kumtafutia mama fuba la uchaguzi 2025. rostam yeye ana dili na Tanesco tu na kijana wake yupo paleIngekuwa anafocus 2030 asingeanza sasa hivi maandalizi. Huyo anaangalia 2025
Time will tell. Any way nchi sasa ipo mikononi mwa wajanja. Rostam anajua kucheza karata zake vizuri. Einstein aliwahi kusema usome mchezo na ujue sheria zake mwisho ucheze kuliko mtu yeyote yule.kinachofanyika sasa ni kumtafutia mama fuba la uchaguzi 2025. rostam yeye ana dili na Tanesco tu na kijana wake yupo pale
kosa kubwa alilolifanya mwendazake ni kukubali kumsogelea mtu anaitwa rostam azizi. lilikuwa ni kosa kubwa sana kwake ... acha niishie hapo
Sasa kama hata Mwamba yule alisanda kwa rostitamu sisi ni nani?. tuombe tu gwajima atuombee.kinachofanyika sasa ni kumtafutia mama fuba la uchaguzi 2025. rostam yeye ana dili na Tanesco tu na kijana wake yupo pale
kosa kubwa alilolifanya mwendazake ni kukubali kumsogelea mtu anaitwa rostam azizi. lilikuwa ni kosa kubwa sana kwake ... acha niishie hapo
Kigogo2014 hakuna mtanzania asiejua hiloMakamba ni gwiji wa majungu. Nazikumbuka zile katuni alizokuwa akimchora mwendazake
One of the crooks cooked by the Mr cooker chef msoga kingBush Electrical Engineer Prince January Makamba from Msoga Kingdom!
Hakuna chja makamba wala nani Rais Samia Suluhu hana mpinzani 2025Makamba hajawahi kuwa smart. Ilikuwa inasaidia miaka ile sababu alikuwa kimya. Sasa anafunua kinywa ndo tunasema "Kwa nini sasa unaongea? Au hupendi kuonekana una akili?"
Tangu amekuwa waziri wa Nishati namwona tu akizunguka kugawa mitungi ya gesi. Hana ubunifu. Na ikitokea akaongea anaongea pumba. Sisi tumejaribu sana kumtetea na yeye anakazana sana kutetereka. Inafikia hatua tunajivika mabomu na kutukana wanaomkosoa.
Ukweli ni kuwa jamaa ni kilaza. Tufuatilie Elimu yake pale Galanois tutajifunza mengi, hawa watu wamebebwa na mfumo tu ila kichwani hamna kitu kabisa.
Watu wameishi Miaka yote wanapikia KuniEti kupikia kuni ni hatari kuliko sigara [emoji16][emoji16][emoji16]
Makamba hajawahi kuwa smart. Ilikuwa inasaidia miaka ile sababu alikuwa kimya. Sasa anafunua kinywa ndo tunasema "Kwa nini sasa unaongea? Au hupendi kuonekana una akili?"
Tangu amekuwa waziri wa Nishati namwona tu akizunguka kugawa mitungi ya gesi. Hana ubunifu. Na ikitokea akaongea anaongea pumba. Sisi tumejaribu sana kumtetea na yeye anakazana sana kutetereka. Inafikia hatua tunajivika mabomu na kutukana wanaomkosoa.
Ukweli ni kuwa jamaa ni kilaza. Tufuatilie Elimu yake pale Galanois tutajifunza mengi, hawa watu wamebebwa na mfumo tu ila kichwani hamna kitu kabisa.