Waziri wa Kusambaza Mitungi ya Gesi anataka kuwa Rais?

Mh. Chalamila ametahadharisha kuwa Yuko Waziri anatafuta pesa nje ya nchi kwa ajili ya kugombea Urais 2025. Na Mkuu wa Mkoa Mmoja anajipanga pia. Ni akina Nani hawa? Itabidi ianzishwe Thread yake tuidadavue.
ah kumbe aliyesema ni chalamila... basi sawa
 
Makamba anataka kuwa Rais wa kusaidiwa na Rostam. Na CCM 2025 watakuja na hoja ya kuwa Samia na yeye apite kwenye mchujo wa wajumbe. Yaani 2025 kuwe na uchanguzi wa ndani hoja ni kuwa Samia Rais lazima apitie kwenye chujio kama ilivyokuwa 2015.Kazi ipo.
 
waliokuambia wamekosea
hayo yote yatafanyika samia akiwa mwenyekiti wa chama na mkuu wa dola? hilo nalo ulikumbuke
 
Inawezekana kabisa. Inatakiwa tu wale watu muhimu wa CCM wamgeuke na walemtee hiyo hoja. Akibaki peke yake hatakuwa na jinsi. Kwanza wameshamsoma ni mwepesi. Sio jiwe kama Magu.
 
wala hahitaji kuwa jiwe kumbuka tu kwamba samia ni wa kwao, na makamba pia wa kwao..... unajua kwann makamba yupo pale alipo? kitakachofanyika ni january kumuachia mama amalize kisha yeye achukue hapo baadae kwa sasa ccm ni ya msoga na rostam ni wa huko
 
Au anatumia ugumu(tatizo la umeme) kuji PR ili awe anazungumziwa kila mara na wananchi na vyombo vya habari? Kutafuta njia ya kwenda jumba jeupe.
 
wala hahitaji kuwa jiwe kumbuka tu kwamba samia ni wa kwao, na makamba pia wa kwao..... unajua kwann makamba yupo pale alipo? kitakachofanyika ni january kumuachia mama amalize kisha yeye achukue hapo baadae kwa sasa ccm ni ya msoga na rostam ni wa huko
Ingekuwa anafocus 2030 asingeanza sasa hivi maandalizi. Huyo anaangalia 2025
 
kinachofanyika sasa ni kumtafutia mama fuba la uchaguzi 2025. rostam yeye ana dili na Tanesco tu na kijana wake yupo pale
kosa kubwa alilolifanya mwendazake ni kukubali kumsogelea mtu anaitwa rostam azizi. lilikuwa ni kosa kubwa sana kwake ... acha niishie hapo
 
Time will tell. Any way nchi sasa ipo mikononi mwa wajanja. Rostam anajua kucheza karata zake vizuri. Einstein aliwahi kusema usome mchezo na ujue sheria zake mwisho ucheze kuliko mtu yeyote yule.
 
kinachofanyika sasa ni kumtafutia mama fuba la uchaguzi 2025. rostam yeye ana dili na Tanesco tu na kijana wake yupo pale
kosa kubwa alilolifanya mwendazake ni kukubali kumsogelea mtu anaitwa rostam azizi. lilikuwa ni kosa kubwa sana kwake ... acha niishie hapo
Sasa kama hata Mwamba yule alisanda kwa rostitamu sisi ni nani?. tuombe tu gwajima atuombee.
 
Juzi nimepita hii barabara kuu ya Nzega-Tabora.

Mkaa utakaokutana nao umebebwa na waendesha baiskeli barabarani,sijajua kipara ana mikakati gani kabambe na hiyo mitungi yake ya gesi.

Kama anategemea hizo propaganda za kuni kuua watu 33 kwa mwaka atapoteza muda tu.😁.
 
HAFAI HATA KIDOGO binafsi nakumbuka picha alotuma akiwa na mzee mwinyi baada ya kutumbiliwa Ile picha ilikuwa na tafsiri nyingi sana za kimajungu ila Mungu yupo malipo ni hapa hapa Duniani
 
Makamba hajawahi kuwa smart. Ilikuwa inasaidia miaka ile sababu alikuwa kimya. Sasa anafunua kinywa ndo tunasema "Kwa nini sasa unaongea? Au hupendi kuonekana una akili?"

Tangu amekuwa waziri wa Nishati namwona tu akizunguka kugawa mitungi ya gesi. Hana ubunifu. Na ikitokea akaongea anaongea pumba. Sisi tumejaribu sana kumtetea na yeye anakazana sana kutetereka. Inafikia hatua tunajivika mabomu na kutukana wanaomkosoa.

Ukweli ni kuwa jamaa ni kilaza. Tufuatilie Elimu yake pale Galanois tutajifunza mengi, hawa watu wamebebwa na mfumo tu ila kichwani hamna kitu kabisa.
Hakuna chja makamba wala nani Rais Samia Suluhu hana mpinzani 2025
 
Sijawahi kumuelewa huyu waziri,,mpaka leo sijuw kwa nini alipewa,wizara nyeti kama zilivyo nyeti zetu huyu mtu sielewi kabisa.

Hakuna wizara aliyowahi kupewa akafanya kazi,na kuwa mfano wa Kuigwa huyu ni lege lege hana ubunifu hana la kujifunza kutoka kwake.

Unagawa mtungi wa gas, ukiisha kujaza elfu 25 mtungi mdogo hlf unasema unasaidia kupunguza matumizi ya mkaa na kuni.
 
Makamba hajawahi kuwa smart. Ilikuwa inasaidia miaka ile sababu alikuwa kimya. Sasa anafunua kinywa ndo tunasema "Kwa nini sasa unaongea? Au hupendi kuonekana una akili?"

Tangu amekuwa waziri wa Nishati namwona tu akizunguka kugawa mitungi ya gesi. Hana ubunifu. Na ikitokea akaongea anaongea pumba. Sisi tumejaribu sana kumtetea na yeye anakazana sana kutetereka. Inafikia hatua tunajivika mabomu na kutukana wanaomkosoa.

Ukweli ni kuwa jamaa ni kilaza. Tufuatilie Elimu yake pale Galanois tutajifunza mengi, hawa watu wamebebwa na mfumo tu ila kichwani hamna kitu kabisa.
1666883199727.png
 
Back
Top Bottom