Waziri wa Madini, Anthony Mavunde utaifuta lini Leseni ya utafiti PL 6973/2011 ambayo imekwisha muda wake?

Waziri wa Madini, Anthony Mavunde utaifuta lini Leseni ya utafiti PL 6973/2011 ambayo imekwisha muda wake?

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, tunakuomba upitie ,ufuatilie leseni ya utafiti wa Dhahabu ambayo imekwisha muda wake PL 6973/2011.

Leseni hii Mama yetu na Rais wetu Dkt. Samia, alisema ni eneo la wachimbaji wadogo huu ni mwaka wa tatu.

Kwanini haifutwi ili kuruhusu wachimbaji wadogo kuchimba Dhahabu na kupewa leseni maeneo ya hiyo leseni ya utafiti?
 
Sishauri kugawa ovyo Kila Eneo kwa wachimbaji wadogo
Tunaweza kupata wawekezaji wakubwa tukakosa Eneo la uwekezaji la migodi
 
Back
Top Bottom