Waziri wa Madini Dotto Biteko ulisubiri ifike tarehe 17 Machi, 2021 ndiyo uiseme hii Kauli yako iliyojaa 'Unafiki' mwingi? Tumewachokeni sasa!!

Kabisa mkuu
 
Ila ndugu, mm nakushauri tu shika hamsini zako hao watu unao waita wanafiki wana mkate wao tayari wa leo na kesho kwa kizazi chao kijacho..mle mjengoni hakuna anae mjaali mnyonge
Mfano mdogo tu angaliaa bunge linavyo pwaya swala la malipo ya wastaafu yaan hawana hata cha kuishauri serikali na wala serikal yenyewe haiwa jali hao wastaafu. Kama ingekuwa enzi za mzee wa speed and standard si ajabu ungesikia mwakilishi akileta hoja binafsi ikajadikiwa na wabunge wote wakatoka na azimio la kuitaka serikal ifanye nn ...
 
Mbona hamna hoja ya msingi zaidi ya kulalamika kizandiki au kawachomolea betri nini, acheni unafiki semeni mapungufu yake, nyie wote ndio walewale achaneni kabisa na Hayati Magufuli wetu na timu yetu.
 

Doto Biteko inatamkwa( Bhiteko) kwa kinyarwanda na kirundi yule. Ni mtusi kamili waliohamia geita kutafuta malisho
 
Mbona hamna hoja ya msingi zaidi ya kulalamika kizandiki au kawachomolea betri nini, acheni unafiki semeni mapungufu yake, nyie wote ndio walewale achaneni kabisa na Hayati Magufuli wetu na timu yetu.
Dotto Biteko acha huu Unafiki wako.
 
Kwani ni lazima awe waziri??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…