peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
BIi
Hana cheti cha kuzaliwaMwezi uliopita alienda Buzwagi, akapiga mkwara, wasipompa ripoti ya jinsi gani watalifukia shimo ndani ya mwezi mmoja, atafungia export permit ya Migodi yao.
Sijajua ka keshapewa ripoti au la
Ila mbona Lafudhi yake si ya Tanzania?