Waziri wa Madini Dotto Biteko ulisubiri ifike tarehe 17 Machi, 2021 ndiyo uiseme hii Kauli yako iliyojaa 'Unafiki' mwingi? Tumewachokeni sasa!!

Nimemfahamu BITEKO kupitia hii wizara.... Niseme wazi ukikaa na huyu jamaa ni zaidi ya ukimskiliza majukwaani.....

Biteko anajua anachokifanya kwenye hiyo sekta na alichokiongea hapo alishawahi kikisema kwenye kikao cha ndani kabisaaa 2018.
Tatizo tu SIO MTANZANIA.
 
Hilo la siyo Raia nakubaliana nawe 100%
 
Atakuwa waziri wa kwanza kutumbuliwa
 
Geti la mirerani watu wanadhalilishwa, wanavuliwa nguo wanafirama. Mambo gani hayo waziri. Ungekuwa wewe ungependa?
 
Mkuu, kama huyo wa kwanza ni speaker🎧 kwa maana ya spika kabisaaaaa, radio 🎤yenyewe iko somewhere, huyo wa pili naye tumbo mkuu🫖
 
Kama VP alikuwa anawajibu wa kumshauri Mh Rais na kama kweli alikuwa hasikilizwi ange resign
Wakati wewe unasema aresign, kila mtu ana ndoto zake kwenye maisha, kwa mfano angeresign je hiyo nafasi aliyonayo leo angeipata?!
 
Wewe sasa unamsema dotto J
 
Kiukweli magu alikuwa msaada kwenye kujenga barabara alifaa awe waziri tu si kumpa taifa kuongoza alikuwa hana uwezo wa kuongoza taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…