Waziri wa Madini Dotto Biteko ulisubiri ifike tarehe 17 Machi, 2021 ndiyo uiseme hii Kauli yako iliyojaa 'Unafiki' mwingi? Tumewachokeni sasa!!

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
" Sekta ya Madini nchini haitakiwi iwe au iwekewe Sheria Kali kwa Wadau wake kwani itawakimbiza na hatutopata Faida yoyote kama Serikali na itatuchelewesha kama nchi. Tuongozwe na Busara pamoja na Hekima na siyo Ukali wa Kupitiliza "

Nimemsikia akizungumza haya Leo Asubuhi katika Kipindi cha Nipashe cha Radio One baada ya Waziri huyu Kukutana na Kamati ya Bunge inayohusika na Madini.

JamiiForums ikiwapendeza mje na Jukwaa litakaloitwa WATAMBUE WANASIASA NA VIONGOZI WANAFIKI TANZANIA kwani kiukweli sasa tumechoka na Wengine tumeshaanza hata Kukereka.

Alianza Spika wa Bunge Ndugai kuhusu Bandari ya Bagamoyo ambaye kabla ya tarehe 17 Machi, 2021 alikuwa hataki ijengwe ila baada ya tarehe hii husika leo anasema ijengwe.

Ni huyu huyu Waziri wa Madini Biteko alikuwa akiufurahia huu huu Ukali na Ubabe dhidi ya Wadau wa Madini, ila baada ya tarehe 17 Machi, 2021 leo nae kabadilika na Kujifanya ni Muungwana na anaungana na Sisi Watanzania tunaojitambua ( wenye Akili ) tuliokuwa hatuupendi Utendaji wa Mpwa wake ( sasa Marehemu kama si Hayati ) pia.

Hakuna Kitu nakichukia tu kama Unafiki.
 
LINAFIKI LIKUBWA. TOKEA AFE MAGU TUMEYAJUA MANAFIKI MENGI SANA

Halafu imekuwaje hata Confidence yake katika Kuongea aliyokuwa nayo wakati Mjomba wake wa Damu kabisa ( Hayati ) yupo alikuwa nayo ila kwa sasa imepotea, ana Adabu na hata zile Dharau zake za Asili sasa amezipumzisha?

Namshukuru sana Israeli kwa Kutenda.
 
" Sekta ya Madini nchini haitakiwi iwe au iwekewe Sheria Kali kwa Wadau wake kwani itawakimbiza na hatutopata Faida yoyote kama Serikali na itatuchelewesha kama nchi. Tuongozwe na Busara pamoja na Hekima na siyo Ukali wa Kupitiliza "

Nimemsikia akizungumza haya Leo Asubuhi katika Kipindi cha Nipashe cha Radio One baada ya Waziri huyu Kukutana na Kamati ya Bunge inayohusika na Madini.

JamiiForums ikiwapendeza mje na Jukwaa litakaloitwa WATAMBUE WANASIASA NA VIONGOZI WANAFIKI TANZANIA kwani kiukweli sasa tumechoka na Wengine tumeshaanza hata Kukereka.

Alianza Spika wa Bunge Ndugai kuhusu Bandari ya Bagamoyo ambaye kabla ya tarehe 17 Machi, 2021 alikuwa hataki ijengwe ila baada ya tarehe hii husika leo anasema ijengwe.

Ni huyu huyu Waziri wa Madini Biteko alikuwa akiufurahia huu huu Ukali na Ubabe dhidi ya Wadau wa Madini, ila baada ya tarehe 17 Machi, 2021 leo nae kabadilika na Kujifanya ni Muungwana na anaungana na Sisi Watanzania tunaojitambua ( wenye Akili ) tuliokuwa hatuupendi Utendaji wa Mpwa wake ( sasa Marehemu kama si Hayati ) pia.

Hakuna Kitu nakichukia tu kama Unafiki.
Mwezi uliopita alienda Buzwagi, akapiga mkwara, wasipompa ripoti ya jinsi gani watalifukia shimo ndani ya mwezi mmoja, atafungia export permit ya Migodi yao.
Sijajua ka keshapewa ripoti au la.
 
NIKIWA KAMA MDAU NA MFANYABIASHARA
WA SEKTA HIYO,HILO TULILIONANA KITAMBO SANA NAKUMBUKA KWENYE MOJA YA VIKAO VYETU NA WATU WA MADINI,NILISHAMGUSIAGA SANA RMO DAR
SMDY MAGANGA
LAKINI TULIPOKUWA TUKISEMA WATU WALIKUWA WANACHUKULIA POA
MATAITA WANGU WADOSI KAMA 4 WOTE WALIHAMIA ZAMBIA WANAPIGA KAZI
HUKU SISI TUNALIA NJAAA TU NA MAMBO YAMESIMAMA

ova
 
Mwezi uliopita alienda Buzwagi, akapiga mkwara, wasipompa ripoti ya jinsi gani watalifukia shimo ndani ya mwezi mmoja, atafungia export permit ya Migodi yao.
Sijajua ka keshapewa ripoti au la.
Wizara ya madini, iwe makini na doto Biteko pamoja kaimu mtendaji mkuu wa tume ya madini ,Eng. Yahya. Ni watu Hayati sana. Baada ya kifo cha mwendazake inatakiwa waondolewe soon . Doto Biteko apelekwe wizara ya elimu Naibu waziri.na waziri wa elimu atumbuliwe pia.
 
Back
Top Bottom