Waziri wa maji baada kutatua maji yanapotoka unaenda kutembea kuangalia mtaani

Waziri wa maji baada kutatua maji yanapotoka unaenda kutembea kuangalia mtaani

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Hii nchi itakuwa na channel ya maajabu huko mbinguni.
Screenshot_20251208-151850.png
 
Hakuna serikali hapo kila mtu anatafuta sifa , leadership failed
 
Tena dishi lake la Dstv limeyumba upande hovyo kuliko haya tuliyofunga majumbani.
 
Hizi ndio akili ndogo zinategemewa kupeleka taifa mbele
 
Obhebhe nang'o kasi ole na akili si obhebhe? Hawa ndo wanataka waendelee kututawala yan ye kaona show off uraian ni bora kuliko kwenda kwny chanzo cha tatzo maana uko hatopata picha na video za kujionyesha mitandaon kwmb yuko ktaa anawapambania watanganyika wapate maji..gayizi gayizi gayizi.
 
Back
Top Bottom