Waziri wa Mambo ya Ndani ashauri Bunge kuruhusu matumizi ya Mirungi, adai haujawahi kuua mtu

Waziri wa Mambo ya Ndani ashauri Bunge kuruhusu matumizi ya Mirungi, adai haujawahi kuua mtu

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
1688706979866.png

Ni kauli ya Meja Jenerali Mstaafu Kahinda Otafiire, aliyewaomba Wabunge wa Uganda kuondoa bidhaa hiyo katika orodha ya Vilevi vilivyopigwa marufuku Nchini humo.

Waziri huyo amesema, sidhani kama Mirungi ni hatari zaidi kuliko Kahawa na Pombe. Kwa hivyo mabibi na mabwana, naona bora tuiondoe kwenye vitu vilivyokatazwa kwa sababu, kama ni hatari, imekuwaje haijaua watu Somalia?.

Kama Bunge litaridhia, Uganda itaungana na Kenya ambayo imeruhusu Kilimo na Biashara ya Mirungi na Usafirishaji bila kutumika ndani ya Nchi. Ikumbukwe Uganda imeruhusu kilimo cha Bangi inayouzwa nje ya Nchi pekee.

==========

Alien Skin and the Ghetto community are beaming with joy after Minister Of Internal Affairs Maj Gen Kahinda Otafiire asked MPs to delete Miraa (Khat) from the list of prohibited substances in Uganda.

Miraa is among the prohibited substances in Uganda but it is mostly consumed and a source of income in Somalia and Kenya.

Otafiire argues that Miraa is not more dangerous than coffee and alcohol.

" don’t think it is more dangerous than coffee and alcohol. So ladies and gentlemen, I think we better remove it from the prohibited substances because if it was dangerous, how come it has not killed people in Somalia"

Maj Gen Kahinda Otafiire

The outspoken general also asked the parliament to allow Ugandans grow Marijuana because of its financial and medical benefits.

Backing his argument with proof, Otafiire argued that drinking whiskey is more dangerous than smoking marijuana.

“You need to smoke about 10kgs of cannabis to die. But, try to drink two glasses of whiskey at the same time”, Maj. Gen Kahinda Otafire.

If the General’s ideas are bought by the parliament, Alien Skin and the Ghetto community will publicly have fun non stop.

Alien Skin has marketed himself as the Nkwacho (Miraa or Khat) lover. He always show off while parading kavera full of Nkwacho.

Opportunist, Abtex is planning to organise Nkwacho festival.

ROUTINEBLAST
 
Ni suala la muda tu hata sisi Tanzania litafika, maana sisi hadi tuone wengine wanapata kodi na mapato ndipo mtu fulani utamsikia anasema "nchi inafunguka sasa tunasafirisha mirungi, bangi na tunapata pesa nyingi"
 
Back
Top Bottom