Kama inaweza songa unga wa ngano kwann isisonge wa mahindi.Mkuu mimi nilidhani umeisha ijaribu kuitumia kusonga ugali wa mahindi ama muhogo, yaani unauzoefu na matumizi ya mashine hiyo. Kama bado hujaitumia basi wazo langu bado lina thamani, hivyo wanajukwaa waniunge mkono.
Hivi kuna uwezekano watengenezaji wa mashine hiyo ya kusonga ngano, hawajui kuwa huku tunasonga ugali wa mahindi na muhogo kiasi cha kuwafanya wasitangaze mashine yao inasonga unga wa ngano, mahindi na muhogo!? ( Hili si swali lako ninawaza tu).Kama inaweza songa unga wa ngano kwann isisonge wa mahindi.
Kampuni kubwa haisongi ngano kwa mikono
Kashika mwiko apate kupiga picha.anasonga au anapiga picha
Nina uhakika hata Nyapara huwa hawasongi, yy anataka kutuaminisha nini hapo?
Sijui wabunifu wetu sido na wengine, kusonga ugali katika taasisi ni adhabu na ubora ni kidogo.Wazo la kutengeneza mashine ya kusonga ugali limepata justification. Naomba muniunge mkono.
Waziri ana PHD ya upishi na huduma za wafungwa. Akipelekwa kwenye wizara kama hiyo itapendeza zaidi.