Waziri wa Mambo ya Ndani, Masauni aitisha Kikao na Uongozi wa Juu wa Jeshi la Polisi

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amekutana na kufanya kikao na Uongozi wa Jeshi la Polisi nchini ukiongozwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura ambapo kikao hicho kilihusu mambo yanayohusu Usalama na Amani ya nchi ikiwemo kujadili matukio ya kiuhalifu yanayotokea sehemu mbalimbali nchini na hatua zinazochukuliwa kuendelea kudhibiti matukio hayo.

Kikao hicho kilichofanyika Jijini Dodoma kimehudhuriwa pia na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Dkt. Maduhu Kazi.

Upande wa Jeshi la Polisi kilihudhuriwa na Viongozi wafuatao Kamishna wa Utawala na Menejimenti ya Rasilimaliwatu, Suzan Kaganda, Kamishna wa Fedha na Lojistiki, Liberatus Sabas, Kamishna wa Operesheni na Mafunzo, Awadh Juma Haji, Kamishna wa Sayansi ya Uchunguzi wa Jinai, Shabani Hiki, Mkurugenzi wa Upelelezi na Makosa ya Jinai, Kamishna wa Polisi, Ramadhani Kingai, Msemaji wa Jeshi la Polisi, Naibu Kamishna,David Misime, Naibu Kamishna kutoka Kamisheni ya Intelijensia na Jinai, Kheriyangu Khamis Mgeni, Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi Mwandamizi, Jumanne Muliro.

7c52fe80-1af6-4923-850a-39494fd77ea2.jpg

a43ca5b6-0c33-4706-89fc-447f03012da4.jpg

ce6e36ca-9a88-4d83-a0d3-57735f88fc88.jpg

09556dd1-8606-4adf-acf4-60bcc9488033.jpg

2dc60d2d-b8ca-468d-9b17-37e57f30e2df.jpg

97b05013-f03d-49df-9342-bec56609caf9.jpg
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amekutana na kufanya kikao na Uongozi wa Jeshi la Polisi nchini ukiongozwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura ambapo kikao hicho kilihusu mambo yanayohusu Usalama na Amani ya nchi ikiwemo kujadili matukio ya kiuhalifu yanayotokea sehemu mbalimbali nchini na hatua zinazochukuliwa kuendelea kudhibiti matukio hayo.

Kikao hicho kilichofanyika Jijini Dodoma kimehudhuriwa pia na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Dkt. Maduhu Kazi.

Upande wa Jeshi la Polisi kilihudhuriwa na Viongozi wafuatao Kamishna wa Utawala na Menejimenti ya Rasilimaliwatu, Suzan Kaganda, Kamishna wa Fedha na Lojistiki, Liberatus Sabas, Kamishna wa Operesheni na Mafunzo, Awadh Juma Haji, Kamishna wa Sayansi ya Uchunguzi wa Jinai, Shabani Hiki, Mkurugenzi wa Upelelezi na Makosa ya Jinai, Kamishna wa Polisi, Ramadhani Kingai, Msemaji wa Jeshi la Polisi, Naibu Kamishna,David Misime, Naibu Kamishna kutoka Kamisheni ya Intelijensia na Jinai, Kheriyangu Khamis Mgeni, Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi Mwandamizi, Jumanne Muliro.
hamna kitu hapa, they are cementing how to abduct wapinzania
 
Enzi zile miaka ya 2010 , Zitto Kabwe aliingia na IPad Bungeni alikuwa anawasilisha bajeti ya upinzani, Wabunge wote hasa CCM walikuwa wanatumbua macho tu. Kwa kifupi katika ulimwengu wa sasa wa teknolojia makaratasi sio muhimu sana
 
Karatasi bado zitaendelea kutumika sana tu..nyaraka nyingi mfano madokezo na mabarua yanahitaji kupitishwa kwa sahihi.lazima usaini kwenye karatasi
 
Sio lazima usaini kwenye karatasi, acha ushamba. Benki ulipoenda kufungua akaunti ulisaini kwenye makaratasi?
 
Mwisho wa siku lazima utasaini kwenye karatasi. Kumbuka karatasi ndo "hard copy". Hizo saini za kwenye "software" muda wowote zaweza kuingia virusi na kuharibika(Kuwa corrupted) i.e. sio salama kivile. Kwa mantiki hiyo ni vyema ukawa na zote mbili soft na hard copies.
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amekutana na kufanya kikao na Uongozi wa Jeshi la Polisi nchini ukiongozwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura ambapo kikao hicho kilihusu mambo yanayohusu Usalama na Amani ya nchi ikiwemo kujadili matukio ya kiuhalifu yanayotokea sehemu mbalimbali nchini na hatua zinazochukuliwa kuendelea kudhibiti matukio hayo.

Kikao hicho kilichofanyika Jijini Dodoma kimehudhuriwa pia na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Dkt. Maduhu Kazi.

Upande wa Jeshi la Polisi kilihudhuriwa na Viongozi wafuatao Kamishna wa Utawala na Menejimenti ya Rasilimaliwatu, Suzan Kaganda, Kamishna wa Fedha na Lojistiki, Liberatus Sabas, Kamishna wa Operesheni na Mafunzo, Awadh Juma Haji, Kamishna wa Sayansi ya Uchunguzi wa Jinai, Shabani Hiki, Mkurugenzi wa Upelelezi na Makosa ya Jinai, Kamishna wa Polisi, Ramadhani Kingai, Msemaji wa Jeshi la Polisi, Naibu Kamishna,David Misime, Naibu Kamishna kutoka Kamisheni ya Intelijensia na Jinai, Kheriyangu Khamis Mgeni, Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi Mwandamizi, Jumanne Muliro.

Naona wanasaini posho Tu hapo, nothing tangible itatoka hapo. Hamna kitu hapo wanajadili jinsi ya kuisadia CCM uchaguzi Serikali za mitaa
 
Back
Top Bottom