Ndio hivyo, hii mijitu yote mipumbavu tu, hata ukiliona vipi, kitakachomkomboa binadamu wa Tanzania ni katiba mpya tu, sio mbwa hawa,Kila mtu anajaribu kulinda ugali wa wanae
kuna tofauti sana kati ya Mwingira na Marehemu Tutu ndio maana Tutu alipewa tuzo ya heshima ya NOBEL PRIZE ,Mwingira hata aishi miaka 2090 hawezi kupata hiyo tuzo.Askofu Mwingira usitishike fuata nyayo za Ntante Tutu ambaye hakuwaogopa kabisa wanasiasa,kuanzia botha hadi zuma wote aliwapa ukweli wao.
Yule kuwadi aka kidampa wao ZZK amesema walisamehana na wauaji. Awataje haraka au lengo lake ni lile lile alilopewa na awamuya nne kudilute hoja kusnitch wapinzani. ZZZ si ndiye aliyekabidhiwa mzigo na kimei pale posta. Huyu ZZK si ndiye alikula pochi kupitia account ya nje.?!!! Beware of this notorious warthog cum snitch!!!!Waziri wa mambo ya ndani anajifanya ana tahamaki eti Askofu Mwingira mambo anayosema ni mazito. Anasema serikali wanataka waingize kwenye record. Usijaribu kufukua mashimo marefu kuliko uwezo wako
1. Lissu alipigwa risasi mchana , alitoa mpaka namba za magari yaliyokuwa yanamfuatiliampaka leo hakuna mshitakiwa hata mmoja. Mbona hapa Lissu alisema kila kitu lakini hakuna kinachoendelea
2. Mo alitekwa mkasema eti ni wazambia na wameshikwa mpaka nyumba mkasema mnaijua. Sasa mpaka leo kesi imesikilizwa wapi??
Sababu ya watu kutokuja Polisi ni ukweli kwamba Polisi wenyewe na usalama ndiyo wanafanya maovu sasa huyu Askofu akikupa ile namba ya gari ambalo lilikuwa linamfuatilia lissu mtafanya ufuatiliaji? au ni matisho tena kwa watu wasiseme yaliyo watokea
Badala ya kujaribu kufukua mashimo serikali ijikite kwenye kurekebisha na kuweka imani kwa vitendo. Kwa sasa serikali haina rekodi nzuri kwa wananchi na ndiyo maana watu watamwamini Askofu Mwingira kuliko serikali
Waziri wa mambo ya ndani anajifanya ana tahamaki eti Askofu Mwingira mambo anayosema ni mazito. Anasema serikali wanataka waingize kwenye record. Usijaribu kufukua mashimo marefu kuliko uwezo wako

1. Lissu alipigwa risasi mchana , alitoa mpaka namba za magari yaliyokuwa yanamfuatiliampaka leo hakuna mshitakiwa hata mmoja. Mbona hapa Lissu alisema kila kitu lakini hakuna kinachoendeleaWaziri wa mambo ya ndani anajifanya ana tahamaki eti Askofu Mwingira mambo anayosema ni mazito. Anasema serikali wanataka waingize kwenye record. Usijaribu kufukua mashimo marefu kuliko uwezo wako
1. Lissu alipigwa risasi mchana , alitoa mpaka namba za magari yaliyokuwa yanamfuatiliampaka leo hakuna mshitakiwa hata mmoja. Mbona hapa Lissu alisema kila kitu lakini hakuna kinachoendelea
2. Mo alitekwa mkasema eti ni wazambia na wameshikwa mpaka nyumba mkasema mnaijua. Sasa mpaka leo kesi imesikilizwa wapi??
Sababu ya watu kutokuja Polisi ni ukweli kwamba Polisi wenyewe na usalama ndiyo wanafanya maovu sasa huyu Askofu akikupa ile namba ya gari ambalo lilikuwa linamfuatilia lissu mtafanya ufuatiliaji? au ni matisho tena kwa watu wasiseme yaliyo watokea
Badala ya kujaribu kufukua mashimo serikali ijikite kwenye kurekebisha na kuweka imani kwa vitendo. Kwa sasa serikali haina rekodi nzuri kwa wananchi na ndiyo maana watu watamwamini Askofu Mwingira kuliko serikali
Walichonena/kusema Spika wa bunge na SLOW Slow hakina tofauti na alilosema Mwingira mtumishi wa maono! Hapa tuseme tu ni ufasaha wa tamko au Lugha fasihi.Waziri wa michongo kwenye serikali ya michongo
Du mkuu umeshakua mganga wa kienyeji!Tanzania tuna safari ndefu mnokuna tofauti sana kati ya Mwingira na Marehemu Tutu ndio maana Tutu alipewa tuzo ya heshima ya NOBEL PRIZE ,Mwingira hata aishi miaka 2090 hawezi kupata hiyo tuzo.
Waziri wa mambo ya ndani anajifanya ana tahamaki eti Askofu Mwingira mambo anayosema ni mazito. Anasema serikali wanataka waingize kwenye record. Usijaribu kufukua mashimo marefu kuliko uwezo wako
1. Lissu alipigwa risasi mchana , alitoa mpaka namba za magari yaliyokuwa yanamfuatiliampaka leo hakuna mshitakiwa hata mmoja. Mbona hapa Lissu alisema kila kitu lakini hakuna kinachoendelea
2. Mo alitekwa mkasema eti ni wazambia na wameshikwa mpaka nyumba mkasema mnaijua. Sasa mpaka leo kesi imesikilizwa wapi??
Sababu ya watu kutokuja Polisi ni ukweli kwamba Polisi wenyewe na usalama ndiyo wanafanya maovu sasa huyu Askofu akikupa ile namba ya gari ambalo lilikuwa linamfua