Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahmoud Thabit Kombo amekutana na kufanya mazungumzo na Kamati Ndogo ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, katika mazungumzo hayo yaliyojikita katika masuala mbalimbali ya maboresho katika Tasnia ya Diplomasia.
Mazungumzo hayo yamefanyika leo tarehe 23 Disemba, 2024 katika Ofisi ndogo za Wizara zilizopo jijini Dar es Salaam.
Mazungumzo hayo yamefanyika leo tarehe 23 Disemba, 2024 katika Ofisi ndogo za Wizara zilizopo jijini Dar es Salaam.