Jamaa yupo vizuri. He seems to know what he’s talking about.
Only next time asiseme we have “Swahili” as our national language. Rather we use “kiswahili” as our national language.
Ila pia alipenyeza ka statement ka uchawa design😂😂
Eti Dr. Samia Suluhu Hassan. Hivi kwa nini hawa watu wanapenda validation? Presidency ni taasisi inajitosheleza! Kibaya kwa huyu mama PhD ni ya kupewa bure. Huwezi tumia neno Dr. kwa PhD ya kupewa. Au anataka aonekane msomi?
It is my first time kumsikia akiongea huyu bwana. Good luck to him.
Ukiwa unaongea kiingereza, Kiswahili kinaitwa Swahili, Ki ni prefix inayotumika ukiwa unaongea Kiswahili kuitaja lugha yoyote, kwa hivyo kuna Kiingereza, Kireno, Kiarabu, Kisukuma. Hizi ligha kwa Kiingerwza ni English, Portuguese, Arabic, Sukuma. Ukiwa unaongea Kiingereza husemi KiEnglish, KiPortuguese, KiArabic, KiSukuma. Ki inasemwa wakati unaongea Kiswahili. Haisemwi wakati unaingea Kiingereza, kwa sababu ni prefix ya Kiswahili.
Sasa, ukitaka kukiita Kiswahili "Kiswahili" wakati unaongea Kiingereza, na Kiingereza utakiitaje? KiEnglish?
Kumtaja Samia kama alivyomtaja hapo si uchawa. Hiyo ni diplomasia, kuonesha collective responsibility na unity of message.
Mimi nilifundishwa kuandika memo za corporate world, nimefundishwa kwamba ukitaja kulipa ujumbe jambo, unaliunganisha na maneno ya mkubwa fulani kama CEO wenu, ili kuonesha kuwa yale maneno unayoyasema si yako wewe mwenyewe, ni muelekeo wa kampuni. Kwa hiyo Mahmoud hapo alikuwa anaonesha kuwa haya si maneno yake tu, ni maneno ambayo yana backing ya rais wa nchi.