Waziri wa Mambo ya Nje Tanzania kazini, asema Tanzania na Mozambique wameshirikiana kuleta amani Gabo Delgado

Waziri wa Mambo ya Nje Tanzania kazini, asema Tanzania na Mozambique wameshirikiana kuleta amani Gabo Delgado

Huyu ndo waziri wetu wa mambo ya nchi za nje hivi sasa, Mh. Mahmoud Thabit Kombo akiwa kikazi huko Afrika Kusini alipofanya mahojiano na runinga ya SABC.

Toa tathmini yako. Kafanya vizuri au kaharibu?

View: https://youtu.be/lASRWIFZPxQ?si=giRIhODG4NyjiDEN

So he passes the test of comfortably answering softball questions about a specific expected topic with boilerplate answers shamelessly touting African solutions for African problems while African budgets are heavily subsidized by foreign aid, something I would expect from a Tanzanian ambassador.

But the interview does not give him an opportunity to answer tough questions on his feet like Dr. Augustine Mahiga diffusing the press about Tanzania's involvement in the arms trade, or Dr. Salim Ahmed Salim making a case for Communist China getting a seat at the UN Security Council, or Iran getting nuclear facilities for energy.

Or to make a bold and articulate statement like Nyerere lambasting Reagan at the Cancun One summit in 1981, Mkapa lambasting Blair at the 2002 Commonwealth Heads of Government Meeting in Queensland Australia.

We will see his ability soon in the right settings, these talkshops are an exercise in mutual back patting.
 
🤣

Mimi sijui hata MB ni kitu gani.

Ninachojua plan yangu ya T-Mobile niliyonayo ni unlimited - data, text, minutes, na kila aina ya mazagazaga plus an automatic Amazon Prime membership 😉.

Nalipia kila mwezi. Nipo enrolled kwenye AutoPay.

Masaa 24, siku 365 huduma huwa ninayo popote pale duniani.

Kwa bongo nadhani T-Mobile huwa wanashirikiana na Vodacom maana nikiwapo huko mitambo ya Voda ndo huwa naiona ikirusha mawasiliano yangu.
Is that so? Mimi nina same T-Mobile plan.

So ukiwa Bongo unaweza kupokea simu zinazopigwa namba ya US? Au mambo ya data tu? How does that work? It's been a minute since I was there.
 
Sawa mkuu,

Sisi kama ndugu zako tuliokutuma huko ughaibuni utuwakilishe tunafurahi unavyotusimulia mambo mazuri mazuri ya huko ughaibuni.

Asante.
Mambo ya kawaida sana hayo 🤣.

Ukipata fursa mcheki basi waziri wetu halafu utupatie maoni yako.
 
Huyu ndo waziri wetu wa mambo ya nchi za nje hivi sasa, Mh. Mahmoud Thabit Kombo akiwa kikazi huko Afrika Kusini alipofanya mahojiano na runinga ya SABC.

Toa tathmini yako. Kafanya vizuri au kaharibu?

View: https://youtu.be/lASRWIFZPxQ?si=giRIhODG4NyjiDEN

Syndrome ya uchawa kwa wawakilishi wetu imekuwa ni pandemic. Inabidi wawakilishi wetu watambue kuwa wanapokuwa kwenye international stage whatever plans, achievements,issues etc ni za nchi na sio za mtu mmoja -Dr./ raisi. Haya mambo tuyaache katika siasa zetu za ndani.
 
Nikiwa mkubwa nataka kuwa kama huyu waziri, ana-onekana yupo na exposure ya kutosha.
Watanzania wengi mtu yeyote anayeongea Kiingereza kwa confidence tu mnamuona ana exposure ya kutosha.

Hapo alikuwa anaongea boilerplate talking points tu.
 
We need our own identity. Hathitaji kugha yetu kuiweka kwenye muktadha wa kizungu tuonekane tunaendana na wao.

Siku hizi hata taasisi kubwa globally, kwa Tanzania zinatambua kiswahili language siyo swahili language. Anyway in all, Waziri yupo vizuri.
Ok
 
So he passes the test of comfortably answering softball questions about a specific expected topic with boilerplate answers shamelessly touting African solutions for African problems while African budgets are heavily subsidized by foreign aid, something I would expect from a Tanzanian ambassador.

But the interview does not give him an opportunity to answer tough questions on his feet like Dr. Augustine Mahiga diffusing the press about Tanzania's involvement in the arms trade, or Dr. Salim Ahmed Salim making a case for Communist China getting a seat at the UN Security Council, or Iran getting nuclear facilities for energy.

Or to make a bold and articulate statement like Nyerere lambasting Reagan at the Cancun One summit in 1981, Mkapa lambasting Blair at the 2002 Commonwealth Heads of Government Meeting in Queensland Australia.

We will see his ability soon in the right settings, these talkshops are an exercise in mutual back patting.
Well, he wasn’t on a hard hitting interview like HARDtalk and the like.

Some of us remember when and how Mkapa lost his cool on that programme 🤣.

But, even with the softball questions on a friendly network in a brotherly/ sisterly country, I shudder to think the type of word salads that would have come out of Mulamula’s or Stegomena Tax’s mouths.
 
Inawezekana anajua mengi.
Lakin kwenye hiyo interview kaongea vitu common kabisa , very average ambapo mimi sijaona anything extra ordinary.
Kaongea basics kabisaaaaaaa.

Anaongea normal english but fluent.
Sahihi
 
Yupo vyema katika kujenga mawazo ni mzuri na lugha ina flow vizuri. Angalau level hii ya watu ndio walipaswa kujaza bunge na ofisi za serkali lakini kinyume chake wamejaa wachawi na ma-incompetent tele.
 
Is that so? Mimi nina same T-Mobile plan.

So ukiwa Bongo unaweza kupokea simu zinazopigwa namba ya US? Au mambo ya data tu? How does that work? It's been a minute since I was there.
Ok, so hizi iPhones mpya, kuanzia 14 mpaka 16, zina uwezo wa kuwa na lines mbili.

Nina namba ya Marekani na nina namba ya bongo kupitia Vodacom.

Both numbers are active.

Nikiwa Marekani, namba yangu ya Vodacom inafanya kazi. Napokea simu, texts, n.k. Access ya M-Pesa inafanya kazi vizuri tu. Naweza kumtumia mtu hela, kupokea hela, kulipia Luku, na mengineyo.

Nikiwa Tanzania vivyo hivyo, namba ya T-Mobile inafanya kazi kama kawaida.

Nikiwa Marekani, primary line na secondary line zinatumia network ya T-Mobile. Na simu inakuonyesha juu mkono wa kushoto network inayotumika.

Nikiwa Tanzania, network inabadilika inakuwa inakuwa ya Vodacom.

Jana tu nimepokea ujumbe toka Vodacom. Huwa napokea jumbe kama hizi karibu kila siku. Nadhani system yao inapo detect kuwa eSIM yao ipo nje ya Tanzania, automatically inatuma ujumbe kama huu.

IMG_7101.png
 
Tuweke interview za yule aliyekuwa ana garagara sasa 😄

Ova
 
Inawezekana anajua mengi.
Lakin kwenye hiyo interview kaongea vitu common kabisa , very average ambapo mimi sijaona anything extra ordinary.
Kaongea basics kabisaaaaaaa.

Anaongea normal english but fluent.
Hapo angekuwa Mulamula au Stegomena, aibu ungeiona wewe.

Walau huyu anaongea na kueleweka.
 
Jamaa yupo vizuri. He seems to know what he’s talking about.
Only next time asiseme we have “Swahili” as our national language. Rather we use “kiswahili” as our national language.

Ila pia alipenyeza ka statement ka uchawa design😂😂
Eti Dr. Samia Suluhu Hassan. Hivi kwa nini hawa watu wanapenda validation? Presidency ni taasisi inajitosheleza! Kibaya kwa huyu mama PhD ni ya kupewa bure. Huwezi tumia neno Dr. kwa PhD ya kupewa. Au anataka aonekane msomi?

It is my first time kumsikia akiongea huyu bwana. Good luck to him.

hivi ni kwa nini watanzania wanapenda sana huo msemo una maana gani haswa? i mean, sijawahi kusikia mjapani akisema we have japanese as our national language, au mchina we have chinese as our national language, ethiopia we have amharic as our national language, au hata rwanda wakisema we have kinyarwanda as our national language kwa nini watanzania husema hivyo? kwa nini ni big deal kwa tanzania mpaka hata kila mahali waseme huo msemo? sijawahi sikia mswede akisema we have swedish as our national language, kwa nini tanzania ni muhimu hivyo kwa maana karibia kila kiongozi huongea hivyo kwenye international press wakati huo huo wao ndio maadui wakubwa wa hicho hicho kiswahili ? hakuna kingine cha kuongelea?
 
hivi ni kwa nini watanzania wanapenda sana huo msemo una maana gani haswa? i mean, sijawahi kusikia mjapani akisema we have japanese as our national language, au mchina we have chinese as our national language, ethiopia we have amharic as our national language, au hata rwanda wakisema we have kinyarwanda as our national language kwa nini watanzania husema hivyo? kwa nini big deal kwa tanzania mpaka hata kila mahali waseme huo msemo? sijawahi sikia mswede akisema we have swedish as our national language, kwa nini tanzania ni big deal ? hakuna kingine cha kuongea ?
Tanzania kuna lugha ngapi za kikabila?
 
Tanzania kuna lugha ngapi za kikabila?

sijui lkn kiswahili ni lugha ya taifa ya tanzania na kenya na dunia nzima inalijua hilo ndiyo maana sielewi huo msemo una maana gani au una umuhimu hadi kila kiongozi ni kama lazima aseme hivyo, sielewi kwa nini ni big deal ? ina add nini cha maana? isitoshe hao viongozi wenyewe hata hicho kiswahili hawakitumii hata pale ambapo wana choice ya kufanya hivyo …
 
hivi ni kwa nini watanzania wanapenda sana huo msemo una maana gani haswa? i mean, sijawahi kusikia mjapani akisema we have japanese as our national language, au mchina we have chinese as our national language, ethiopia we have amharic as our national language, au hata rwanda wakisema we have kinyarwanda as our national language kwa nini watanzania husema hivyo? kwa nini ni big deal kwa tanzania mpaka hata kila mahali waseme huo msemo? sijawahi sikia mswede akisema we have swedish as our national language, kwa nini tanzania ni muhimu hivyo kwa maana karibia kila kiongozi huongea hivyo kwenye international press wakati huo huo wao ndio maadui wakubwa wa hicho hicho kiswahili ? hakuna kingine cha kuongelea?
Inferiority complex
 
sijui lkn kiswahili ni lugha ya taifa ya tanzania na kenya na dunia nzima inalijua hilo ndiyo maana sielewi huo msemo una maana gani au una umuhimu hadi kila kiongozi ni kama lazima asemae hivyo, sielewi kwa nini ni big deal ? ina add nini cha maana?
Kiswahili ni lingua franca.

Nadhani ndo kitu pekee kinachotuunganisha Watanzania wa makabila mbalimbali.

Wangapi Tanzania hawakijui Kiswahili?
 
Back
Top Bottom