Waziri wa Mambo ya Nje Tanzania kazini, asema Tanzania na Mozambique wameshirikiana kuleta amani Gabo Delgado

Waziri wa Mambo ya Nje Tanzania kazini, asema Tanzania na Mozambique wameshirikiana kuleta amani Gabo Delgado

Jamaa yupo vizuri. He seems to know what he’s talking about.
Only next time asiseme we have “Swahili” as our national language. Rather we use “kiswahili” as our national language.

Ila pia alipenyeza ka statement ka uchawa design😂😂
Eti Dr. Samia Suluhu Hassan. Hivi kwa nini hawa watu wanapenda validation? Presidency ni taasisi inajitosheleza! Kibaya kwa huyu mama PhD ni ya kupewa bure. Huwezi tumia neno Dr. kwa PhD ya kupewa. Au anataka aonekane msomi?

It is my first time kumsikia akiongea huyu bwana. Good luck to him.
Obama ana PhD 14 lakini hatumii hiyo digrii ya zawadi
hali kadhalika watu wengi sana duniani hawatumii
Ni ulimbukeni tu
 
You think this alert is a petty issue? ..You must be a munyarwanda tutsi to see that as a petty issue.
I would presumed you would've asked me what are the petty issues I'm on about.
 
Back
Top Bottom