Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Jamaa yupo vizuri. He seems to know what he’s talking about.Huyu ndo waziri wetu wa mambo ya nchi za nje hivi sasa, Mh. Mahmoud Thabit Kombo akiwa kikazi huko Afrika Kusini alipofanya mahojiano na runinga ya SABC.
Toa tathmini yako. Kafanya vizuri au kaharibu?
View: https://youtu.be/lASRWIFZPxQ?si=giRIhODG4NyjiDEN
Sijaangalia interview.Jamaa yupo vizuri. He seems to know what he’s talking about.
Only next time asiseme we have “Swahili” as our national language. Rather we use “kiswahili” as our national language.
Ila pia alipenyeza ka statement ka uchawa design😂😂
Eti Dr. Samia Suluhu Hassan. Hivi kwa nini hawa watu wanapenda validation? Presidency ni taasisi inajitosheleza! Kibaya kwa huyu mama PhD ni ya kupewa bure. Huwezi tumia neno Dr. kwa PhD ya kupewa. Au anataka aonekane msomi?
It is my first time kumsikia akiongea huyu bwana. Good luck to him.
1. Siyo kwamba ‘we use Kiswahili as a lingua franca’? Au hayo ni ma vocabulary magumu? 😀Jamaa yupo vizuri. He seems to know what he’s talking about.
Only next time asiseme we have “Swahili” as our national language. Rather we use “kiswahili” as our national language.
Ila pia alipenyeza ka statement ka uchawa design😂😂
Eti Dr. Samia Suluhu Hassan. Hivi kwa nini hawa watu wanapenda validation? Presidency ni taasisi inajitosheleza! Kibaya kwa huyu mama PhD ni ya kupewa bure. Huwezi tumia neno Dr. kwa PhD ya kupewa. Au anataka aonekane msomi?
It is my first time kumsikia akiongea huyu bwana. Good luck to him.
Swahili/ Kiswahili yote ni sahihi tu. Hakuna kosa hapo.Sijaangalia interview.
Ila kwenye lugha ni sahihi kusema swahili na siyo kiswahili.
Kiswahili siyo kiingereza ni neno la kibantu. Tukihalalisha hoja yako itabidi pia tuanze kusema Waswahili na siyo Swahili people
We need our own identity. Hathitaji kugha yetu kuiweka kwenye muktadha wa kizungu tuonekane tunaendana na wao.Sijaangalia interview.
Ila kwenye lugha ni sahihi kusema swahili na siyo kiswahili.
Kiswahili siyo kiingereza ni neno la kibantu. Tukihalalisha hoja yako itabidi pia tuanze kusema Waswahili na siyo Swahili people
Yup!Amefanya poa sana..
Mbali na English yake kuwa imenyooka, pia anaonekana anajua mambo mengi, ana uelewa mpana wa hiyo Wizara anayoiongoza..
Exactly. Imagine eti Dr. Obama 😅😅😅😅😅😅😅1. Siyo kwamba ‘we use Kiswahili as a lingua franca’? Au hayo ni ma vocabulary magumu? 😀
2. Hakuna kabisa haja ya kumwita Rais Samia “dokta”. Ni ushamba na uchawa.
Hadhi ya Samia haipandi kwa kuitwa dokta, achilia mbali udokta wenyewe ni wa kupewa tu.
3. Huyu ni bora mara 100 kuliko yule Mulamula au yule Stegomena Tax. Hawa wawili sijui Samia hata alikuwa anafikiria nini alipowateua kuiongoza hiyo wizara.
Ninakubaliana nawe kuhusu lugha.Sijaangalia interview.
Ila kwenye lugha ni sahihi kusema swahili na siyo kiswahili.
Kiswahili siyo kiingereza ni neno la kibantu. Tukihalalisha hoja yako itabidi pia tuanze kusema Waswahili na siyo Swahili people
We need our own identity. Hathitaji kugha yetu kuiweka kwenye muktadha wa kizungu tuonekane tunaendana na wao.
Siku hizi hata taasisi kubwa globally, kwa Tanzania zinatambua kiswahili language siyo swahili language. Anyway in all, Waziri yupo vizuri.
Ukiwa unaongea kiingereza, Kiswahili kinaitwa Swahili, Ki ni prefix inayotumika ukiwa unaongea Kiswahili kuitaja lugha yoyote, kwa hivyo kuna Kiingereza, Kireno, Kiarabu, Kisukuma. Hizi ligha kwa Kiingerwza ni English, Portuguese, Arabic, Sukuma. Ukiwa unaongea Kiingereza husemi KiEnglish, KiPortuguese, KiArabic, KiSukuma. Ki inasemwa wakati unaongea Kiswahili. Haisemwi wakati unaingea Kiingereza, kwa sababu ni prefix ya Kiswahili.Jamaa yupo vizuri. He seems to know what he’s talking about.
Only next time asiseme we have “Swahili” as our national language. Rather we use “kiswahili” as our national language.
Ila pia alipenyeza ka statement ka uchawa design😂😂
Eti Dr. Samia Suluhu Hassan. Hivi kwa nini hawa watu wanapenda validation? Presidency ni taasisi inajitosheleza! Kibaya kwa huyu mama PhD ni ya kupewa bure. Huwezi tumia neno Dr. kwa PhD ya kupewa. Au anataka aonekane msomi?
It is my first time kumsikia akiongea huyu bwana. Good luck to him.
Watanzania wanakosea jina la nchi yao wenyewe mpaka kwenye katiba.Article 11 of the Protocol on Amendments to the Constitutive Act of the African Union states the The official languages of the Union and all its institutions shall be Arabic, English, French, Portuguese, Spanish, Kiswahili and any other African language.
🤣Unajua bwana Ngabu huko marikani sijui MB huwa mnapewa bure kila kaya.
Ila huku bongo mnakokuita kwenye barabara za vumbi Tigo na Voda wanatukatili kweli.
Tusimulie kwa ufupi maana tunakuamini.
Huyo waziri wetu wa mambo ya kigeni kasema nini huko kwenye nchi ya madiba yule Rafiki yake Nyerere??
Asante.
Sawa mkuu,🤣
Mimi sijui hata MB ni kitu gani.
Ninachojua plan yangu ya T-Mobile niliyonayo ni unlimited - data, text, minutes, na kila aina ya mazagazaga plus an automatic Amazon Prime membership 😉.
Nalipia kila mwezi. Nipo enrolled kwenye AutoPay.
Masaa 24, siku 365 huduma huwa ninayo popote pale duniani.
Kwa bongo nadhani T-Mobile huwa wanashirikiana na Vodacom maana nikiwapo huko mitambo ya Voda ndo huwa naiona ikirusha mawasiliano yangu.