whitemoney
JF-Expert Member
- Nov 9, 2023
- 1,161
- 2,454
Usidanganyike na maneno ya kwenye vitabu vya dini(biblia na quran) hizo ni hadithi tu kama tulizosimuliwa na mababu.Cha kumuachia tu cha kianzio ni kwamba israel ambae ndo yakobo ametajwa kwenye biblia kitabu cha mwanzo-agano la kale sasa jiulize baina ya yakobo ambae ndo alikuja kubadilishwa jina baadae na muumba mwenyewe kua israel na marekani nani alitangulia.Hapo ndo utajua nani mwenye nguvu.
Umeua mbu kwa risasi😂UnaUPEO mdogo sana kwenye mambo mtambuka.
Wewe endelea kuvaa kobaz na kushinda vibarazani huko viunga vya mwinyimkuu
Huku ukunywa na kashaya.
Wewe mbona unapenda sana matusi halafu unadai kutetea dini sasa sijui kama hayo ndio mafundisho ya hiyo dini unayodai kuitetea..!! I am wondering tongue in cheek...😛😛😛Wewe mvaa msalaba wa mbao kilo 10 naona unaharisha hovyo🤣 kwani mimi ndiyo nimetuma hiyo barau si mabasha zako ndiyo wametuma.
Allied powers waliwashinda axis powers...Ulisomea wapi ujinga !??.....Eti Marekani alishinda WW2.... Aseee.
Sawa mkuu😂Ngoja nitafte material kwanza mzee nijisomee nisitoe boko nikachekwa
Wanafiki hao hawana jipya ktk Dunia hii
Ndio maana nikakuuliza.... Eti Marekani alishinda ... Walioshinda ni Allied Forces kwa ujumla wao sio Marekani sio Soviet,sio China sio UK.... Allied Forces ..... Na kangalie causalities kati ya Axis na Allies forces .... Utaona ni jinsi gani Allied Forces walichapika japo walishinda. Kwanini hukusema kuwa Soviet ndiye alishinda ama UK..ukashupaza shingo na Marekani!?? Wakati unajua kabisa hakupigana peke yake!??Allied powers waliwashinda axis powers...
Allied powers ndio UK, Soviet,China na USA...
USA ni moja ya washindi mkuu.
Kama hawatafata alichosema marekani ,basi marekani ndio atakua anamtegemea xnaa IsraelKwani kati ya USA na israel nani anamtegemea zaidi mwenzie?
Jibu kiume mbona comment imelegea ivooAnd who is providing food in Gaza? Your mother? Ahahahahaha!!
mbn kashamugomea mara kibao tu na marekani anaufyataKama hawatafata alichosema marekani ,basi marekani ndio atakua anamtegemea xnaa Israel