whitemoney
JF-Expert Member
- Nov 9, 2023
- 1,161
- 2,454
Usidanganyike na maneno ya kwenye vitabu vya dini(biblia na quran) hizo ni hadithi tu kama tulizosimuliwa na mababu.Cha kumuachia tu cha kianzio ni kwamba israel ambae ndo yakobo ametajwa kwenye biblia kitabu cha mwanzo-agano la kale sasa jiulize baina ya yakobo ambae ndo alikuja kubadilishwa jina baadae na muumba mwenyewe kua israel na marekani nani alitangulia.Hapo ndo utajua nani mwenye nguvu.
Umeulizwa wakati marekani anashinda ww2,je hiyo israel ilikuwepo?