Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken na waziri wa ulinzi Lloyd Austin, watoa ovyo kwa Israel

Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken na waziri wa ulinzi Lloyd Austin, watoa ovyo kwa Israel

Cha kumuachia tu cha kianzio ni kwamba israel ambae ndo yakobo ametajwa kwenye biblia kitabu cha mwanzo-agano la kale sasa jiulize baina ya yakobo ambae ndo alikuja kubadilishwa jina baadae na muumba mwenyewe kua israel na marekani nani alitangulia.Hapo ndo utajua nani mwenye nguvu.
Usidanganyike na maneno ya kwenye vitabu vya dini(biblia na quran) hizo ni hadithi tu kama tulizosimuliwa na mababu.
Umeulizwa wakati marekani anashinda ww2,je hiyo israel ilikuwepo?
 
UnaUPEO mdogo sana kwenye mambo mtambuka.
Wewe endelea kuvaa kobaz na kushinda vibarazani huko viunga vya mwinyimkuu
Huku ukunywa na kashaya.
Umeua mbu kwa risasi😂
 
Wewe mvaa msalaba wa mbao kilo 10 naona unaharisha hovyo🤣 kwani mimi ndiyo nimetuma hiyo barau si mabasha zako ndiyo wametuma.
Wewe mbona unapenda sana matusi halafu unadai kutetea dini sasa sijui kama hayo ndio mafundisho ya hiyo dini unayodai kuitetea..!! I am wondering tongue in cheek...😛😛😛
 
Allied powers waliwashinda axis powers...
Allied powers ndio UK, Soviet,China na USA...

USA ni moja ya washindi mkuu.
Ndio maana nikakuuliza.... Eti Marekani alishinda ... Walioshinda ni Allied Forces kwa ujumla wao sio Marekani sio Soviet,sio China sio UK.... Allied Forces ..... Na kangalie causalities kati ya Axis na Allies forces .... Utaona ni jinsi gani Allied Forces walichapika japo walishinda. Kwanini hukusema kuwa Soviet ndiye alishinda ama UK..ukashupaza shingo na Marekani!?? Wakati unajua kabisa hakupigana peke yake!??
 
Back
Top Bottom