Waziri wa Mambo ya Nje: Wawekezaji na Wafanyabiashara sasa wanarudi, foleni Wizarani ni kubwa

Waziri wa Mambo ya Nje: Wawekezaji na Wafanyabiashara sasa wanarudi, foleni Wizarani ni kubwa

JABALI LA KARNE

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2021
Posts
3,093
Reaction score
5,850
Namsikiliza mama Waziri hapa anasema kuwa hali ilikuwa mbaya ila Wawekezaji wanarudi kwa kasi, foleni za Wafanyabiashara kutoka nje zimekuwa kubwa, na baadhi ya mabalozi wakiri kurahisishiwa kazi na mtindo wa Samia alioanza nao kwani kabla kujitetea kulikuwa ni kwingi mno.

SOURCE TBC 1 SIKU 100 ZA RAISI SAMIA.

My take: Nchi inahitaji Katiba.
 
Mipasho hio ....wanawake wanaweza jamani tuwape nafasi
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Kweli wanawake kwa mipasho!
Kama waziri huyo aliyosema ni kweli ilikueje tukaingia uchumi wa Kati kabla ya muda?
Mama fukuza huyu waziri maana watanzania tulimchagua Magu si yeye aliyeteuliwa tu halafu analeta shobo
 
Mipasho hio ....wanawake wanaweza jamani tuwape nafasi
Huyu waziri wa mambo ya nje ni mshamba sana, hajiulizi hizo hela za kuweza kuendesha nchi kwa miezi 6 bila makusanyo zimetoka wapi? Tanzania ilifikaje uchumi wa kati?

Mentality ya huyu waziri ni ili Tanzania iendelee lazima tujipendekeze kwa mataifa mengine.
 
Safi sn piga kazi mama tumecheleweshwa mno kama taifa
 
Namsikiliza mama waziri hapa anasema kuwa hali ilikuwa mbaya ila wawekezaji wanarudi kwa kasi, foleni za wafanyabiashara kutoka nje zimekuwa kubwa, na baadhi ya mabalozi wakiri kurahisishiwa kazi na mtindo wa Samia alioanza nao kwani kabla kujitetea kulikuwa ni kwingi mno.

SOURCE TBC 1 SIKU 100 ZA RAISI SAMIA.

My take: Nchi inahitaji katiba.
Walienda wapi? Nani aliwafukuza?
 
Waliochanjwa chanjo ya Astrazeneca ni marufuku kuingia nchi za Ulaya

Source : BBC
"Indian Astrazeneca" inayouzwa kwa wahindi wenye hali ya chini ndio inayoongelewa hapo ...sio "Astrazeneca" ya waingereza...toa taarifa full kuepuka kuchanganya watu
 
Huyu waziri wa mambo ya nje ni mshamba sana, hajiulizi hizo hela za kuweza kuendesha nchi kwa miezi 6 bila makusanyo zimetoka wapi? Tanzania ilifikaje uchumi wa kati?

Mentality ya huyu waziri ni ili Tanzania iendelee lazima tujipendekeze kwa mataifa mengine.
Ushasema waziri wa mambo ya nje mwanadiplomasia atakuwa na uchungu na watanzania ambao anaona ni mambulula hawana maendeleo wakati wazungu ndio wamempa elimu na kula...lazima awape mapande waje kula kwenye shamba la bibi wamuone yeye mwamba...kawiva kisomo
 
Back
Top Bottom