Waziri wa Mambo ya Nje: Wawekezaji na Wafanyabiashara sasa wanarudi, foleni Wizarani ni kubwa

Waziri wa Mambo ya Nje: Wawekezaji na Wafanyabiashara sasa wanarudi, foleni Wizarani ni kubwa

Ushasema waziri wa mambo ya nje mwanadiplomasia atakuwa na uchungu na watanzania ambao anaona ni mambulula hawana maendeleo wakati wazungu ndio wamempa elimu na kula...lazima awape mapande waje kula kwenye shamba la bibi wamuone yeye mwamba...kawiva kisomo
Tetetete kazi sn
 
Hii Nchi !!!! Kila mtu Msanii...

Nina uhakika angeulizwa wakati ule hali ipoje angesema hatujawahi kuwa na hali nzuri kama hii (huku akiongelea ongelea uchumi wa kati usio wa kati)
Hakuwa Waziri sasa au angeulizwa akiwa kama nani?
 
Kweli wanawake kwa mipasho!
Kama waziri huyo aliyosema ni kweli ilikueje tukaingia uchumi wa Kati kabla ya muda?
Mama fukuza huyu waziri maana watanzania tulimchagua Magu si yeye aliyeteuliwa tu halafu analeta shobo
Magu alichaguliwa na NEC.
 
Hahah...

CCM bwana...

Wazee wa kutengeneza matatizo ili wakati fulani ukifika wayasolve hayo matatizo waliyoyatengeneza...

Mwishoni, wajipige vifua kuwa wao ni watatuzi wa kero...
 
Maneno 100% Action 0.1%
Umenikumbusha somo la Chemistry; kwangu nilikuwa napiga msuli lakini matokeo sivuki 37.

Ndo nikagundua neno la Msuli Tembo matokeo Mbu' una usahihi!

Huyu mama wa kihaya mjanja mjanja sana huyu.
 
Ukiona mfanyabiashaŕa anakimbilia mahali ujue keshaona shamba la bibi mahali!! Wanadai shamba letu la bibi limerudi!! Uliza kiasi cha kodi inayokusanywa kwa mwezi!!
sio shamba la bibi bali fursa.
hakuna mfanya biashara anaetaka.kufanya kazi mahalu apaye hasara..

kama unaona wafanya biashara wa nje ni maadui. fukuza wote
 
Huyu waziri wa mambo ya nje ni mshamba sana, hajiulizi hizo hela za kuweza kuendesha nchi kwa miezi 6 bila makusanyo zimetoka wapi? Tanzania ilifikaje uchumi wa kati?

Mentality ya huyu waziri ni ili Tanzania iendelee lazima tujipendekeze kwa mataifa mengine.
Kwani huyu humjui best? Hawa ni akina Tibaijuka type-hopeless kabisa
 
Kwanza kajifunze kusoma we waziri[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Back
Top Bottom