JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,093
- 5,850
Mapambio.co.tzManeno 100% Action 0.1%
Kwani ni lazima kwenda ulaya? Yule muuaji alipopigwa ban kuingia marekani mlisemaje?Waliochanjwa chanjo ya Astrazeneca ni marufuku kuingia nchi za Ulaya
Source : BBC
Huyu waziri wa mambo ya nje ni mshamba sana, hajiulizi hizo hela za kuweza kuendesha nchi kwa miezi 6 bila makusanyo zimetoka wapi? Tanzania ilifikaje uchumi wa kati?Mipasho hio ....wanawake wanaweza jamani tuwape nafasi
Walienda wapi? Nani aliwafukuza?Namsikiliza mama waziri hapa anasema kuwa hali ilikuwa mbaya ila wawekezaji wanarudi kwa kasi, foleni za wafanyabiashara kutoka nje zimekuwa kubwa, na baadhi ya mabalozi wakiri kurahisishiwa kazi na mtindo wa Samia alioanza nao kwani kabla kujitetea kulikuwa ni kwingi mno.
SOURCE TBC 1 SIKU 100 ZA RAISI SAMIA.
My take: Nchi inahitaji katiba.
Capt, comment ya jamaa inasema "waliochanjwa..." na siyo wasiochanjwa!.Kwani ni lazima kwenda ulaya? Yule muuaji alipopigwa ban kuingia marekani mlisemaje?
Unamuuliza waziri au mm?Walienda wapi? Nani aliwafukuza?
"Indian Astrazeneca" inayouzwa kwa wahindi wenye hali ya chini ndio inayoongelewa hapo ...sio "Astrazeneca" ya waingereza...toa taarifa full kuepuka kuchanganya watuWaliochanjwa chanjo ya Astrazeneca ni marufuku kuingia nchi za Ulaya
Source : BBC
Ushasema waziri wa mambo ya nje mwanadiplomasia atakuwa na uchungu na watanzania ambao anaona ni mambulula hawana maendeleo wakati wazungu ndio wamempa elimu na kula...lazima awape mapande waje kula kwenye shamba la bibi wamuone yeye mwamba...kawiva kisomoHuyu waziri wa mambo ya nje ni mshamba sana, hajiulizi hizo hela za kuweza kuendesha nchi kwa miezi 6 bila makusanyo zimetoka wapi? Tanzania ilifikaje uchumi wa kati?
Mentality ya huyu waziri ni ili Tanzania iendelee lazima tujipendekeze kwa mataifa mengine.
Hii ni awamu ya kuongeaManeno 100% Action 0.1%