Waziri wa Mambo ya Nje: Wawekezaji na Wafanyabiashara sasa wanarudi, foleni Wizarani ni kubwa

Tetetete kazi sn
 
Hii Nchi !!!! Kila mtu Msanii...

Nina uhakika angeulizwa wakati ule hali ipoje angesema hatujawahi kuwa na hali nzuri kama hii (huku akiongelea ongelea uchumi wa kati usio wa kati)
Hakuwa Waziri sasa au angeulizwa akiwa kama nani?
 
Kweli wanawake kwa mipasho!
Kama waziri huyo aliyosema ni kweli ilikueje tukaingia uchumi wa Kati kabla ya muda?
Mama fukuza huyu waziri maana watanzania tulimchagua Magu si yeye aliyeteuliwa tu halafu analeta shobo
Magu alichaguliwa na NEC.
 
Hahah...

CCM bwana...

Wazee wa kutengeneza matatizo ili wakati fulani ukifika wayasolve hayo matatizo waliyoyatengeneza...

Mwishoni, wajipige vifua kuwa wao ni watatuzi wa kero...
 
Maneno 100% Action 0.1%
Umenikumbusha somo la Chemistry; kwangu nilikuwa napiga msuli lakini matokeo sivuki 37.

Ndo nikagundua neno la Msuli Tembo matokeo Mbu' una usahihi!

Huyu mama wa kihaya mjanja mjanja sana huyu.
 
Ukiona mfanyabiashaŕa anakimbilia mahali ujue keshaona shamba la bibi mahali!! Wanadai shamba letu la bibi limerudi!! Uliza kiasi cha kodi inayokusanywa kwa mwezi!!
sio shamba la bibi bali fursa.
hakuna mfanya biashara anaetaka.kufanya kazi mahalu apaye hasara..

kama unaona wafanya biashara wa nje ni maadui. fukuza wote
 
Kwani huyu humjui best? Hawa ni akina Tibaijuka type-hopeless kabisa
 
Kwanza kajifunze kusoma we waziri[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…