ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Kwa jambo la kutekwa na kuuawa Mzee Kibao, naomba mjiuzulu ili kulinda heshima yenu katika jamii na kama sehemu ya uungwana.
Yaani Raia wa Tanzania anatekwa na watu wanaojitambulisha kama police, tena mchana wa jua kali mbele ya abiria zaidi ya 60 anauliwa
Kazi yako ni kulinda Raia na mali zao, Sasa kama Raia wanauliwa kama nzi ndani ya nchi Yao, hapo nyie kazi yenu ni ipi na mishahara ya Kodi zetu mnakula za Nini? Kama hamtimizi majukumu yenu
Tanzania ni yetu sote,
Wote tunaipenda nchi yetu
Hao watu wamepata wapi bunduki na Risasi