Hujawahi kuuliwa baba mama mke au mtotoni muhimu zaidi kua wastahimilivu na wenye subra wakati mamlaka husika zikishukhulika na mambo haya 🐒
Kama huwezi kupaza sauti dhidi ya huu ukatili basi nyamazatu mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujawahi kuuliwa baba mama mke au mtotoni muhimu zaidi kua wastahimilivu na wenye subra wakati mamlaka husika zikishukhulika na mambo haya 🐒
kama ambavyo jeshi la police limetoa wito kwa yeyote yule mwenye taarifa sahihi dhidi ya unyama alietendwa kamanda Ally Kibao, basi watoe taarifa panapohusika hatua stahiki zichukuliwe dhidi ya wale wote wanaohusika na udhalimu huo wa kibinadamu ....Hujawahi kuuliwa baba mama mke au mtoto
Kama huwezi kupaza sauti dhidi ya huu ukatili basi nyamazatu mkuu
Ustahimilivu unahitajika wakati huu ili wauaji waendelee kuchambua majina ya wanaofuatia kutekwa na kuuawa. Subra ni muhimu kwani watekaji lazima wapate muda wa kuandaa Pori la kuwatupa wahanga waliouliwa na tindikali ya kuharibu miili yao. Mamlaka husika lazima ifanye kwa uangalifu kazi hii ya kusafisha wapinzani wa CCM ili kelele zipungue mjn. Umesema vzr sn.ni muhimu zaidi kua wastahimilivu na wenye subra wakati mamlaka husika zikishukhulika na mambo haya [emoji205]
mihemko, ghadhabu, makasiriko na ushirikina viendelee kukusaidia kufanya mzaha kwenye mambo serious na ya msingi wakati watu wako kwenye maombolexo na majonzi makubwa...Ustahimilivu unahitajika wakati huu ili wauaji waendelee kuchambua majina ya wanaofuatia kutekwa na kuuawa. Subra ni muhimu kwani watekaji lazima wapate muda wa kuandaa Pori la kuwatupa wahanga waliouliwa na tindikali ya kuharibu miili yao. Mamlaka husika lazima ifanye kwa uangalifu kazi hii ya kusafisha wapinzani wa CCM ili kelele zipungue mjn. Umesema vzr sn.
Leo upo unafurahia kifo cha Mzee Kibaokama ambavyo jeshi la police limetoa wito kwa yeyote yule mwenye taarifa sahihi dhidi ya unyama alietendwa kamanda Ally Kibao, basi watoe taarifa panapohusika hatua stahiki zichukuliwe dhidi ya wale wote wanaohusika na udhalimu huo wa kibinadamu ....
aidha,
ni dhuluma kwa muungwana Ally Kibao, ikiwa utaficha taarifa sahihi na ukweli kuhusu yoyote aliehusika kutenda kitendo cha kinyama alichotendewa Ally.
Siku ya mwisho mbele za haki utaulizwa...
R.I.P kamanda Ally Kibao 🤭
we nyamaza tu na ubaki kimya na taarifa za kweli , sahihi na za uhakika za kifo cha kinyama cha Mzee huyu asie na hatia,Leo upo unafurahia kifo cha Mzee Kibao
Kisa maslahi yako na hicho Chama chakavu
Lakini kumbuka na wewe utakufa
Yaani we Kwa akili yako unadhani taarifa hizo police hawanawe nyamaza tu na ubaki kimya na taarifa za kweli , sahihi na za uhakika za kifo cha kinyama cha Mzee huyu asie na hatia,
kumbuka unasaidia kudhulumu haiki na stahiki za Mzee huyu mnyonge,
nakuhakikishia,
siku ya mwisho mbele za Mungu utaulizwa 🤭
R.I.P kamanda Ally Kibao
Kujiuzulu si utamaduni wa nchi hii, wako tayari kutumbuliwa no matter how much wanazinguaKwa jambo la kutekwa na kuuawa Mzee Kibao, naomba mjiuzulu ili kulinda heshima yenu katika jamii na kama sehemu ya uungwana.
Yaani Raia wa Tanzania anatekwa na watu wanaojitambulisha kama police, tena mchana wa jua kali mbele ya abiria zaidi ya 60 anauliwa
Kazi yako ni kulinda Raia na mali zao, Sasa kama Raia wanauliwa kama nzi ndani ya nchi Yao, hapo nyie kazi yenu ni ipi na mishahara ya Kodi zetu mnakula za Nini? Kama hamtimizi majukumu yenu
Tanzania ni yetu sote,
Wote tunaipenda nchi yetu
Hao watu wamepata wapi bunduki na Risasi
ni muhimu ukajitenga na mihemko,Yaani we Kwa akili yako unadhani taarifa hizo police hawana
Yaani hapa Tanzania tena Dar mtu ateke basi Kwa bunduki na pingu mbele ya polisi wampeleke Ununio na vyombo vya usalama vimelala havina taarifa.
Basi hapa itakuwa sio sehemu salama tena
Alitekwa hadharani mchanani muhimu ukajitenga na mihemko,
kwasabb huko ni kama kusaidia kupoteza na kuharibu haki na stahiki za kamanda Ally Kibao..
Taarifa za kutekwa kwa kamanda Ally Kibao kwa wakati muafaka sana officially ilitoka chadema HQ, right?
na vile vile,
skia vizuri hapo, na vile vile Taarifa za kifo cha kamanda Ally Kibao tena kwa wakati muafaka sana, vile vile ikatoka officially chadema HQ, right?🤭
huu ni muujiza au planned actions?
R.I.P kamanda Ally Kibao
Achana na huyo chawa muovu...mikono yake inanuka damu na hivi sasa roho yake inamsuta!Alitekwa hadharani mchana
Gari zinasemeka ni police zili block bus wamakamkamata wakafunga pingu na traffic akiwepo seat ya mbele
Yaani watekaji wateke basi mchana na traffic asitoe taarifa Kwa wakubwa zao
huu sio mzaha gentleman,Alitekwa hadharani mchana
Gari zinasemeka ni police zili block bus wamakamkamata wakafunga pingu na traffic akiwepo seat ya mbele
Yaani watekaji wateke basi mchana na traffic asitoe taarifa Kwa wakubwa zao
Hao unawaonea Bure, tatizo liko kwa bibi yenu, anafikiri kutisha watu ndio kushinda uchaguzi, kwa bahati mbaya mwakani Raisi atakuwa mwanaume.Kwa jambo la kutekwa na kuuawa Mzee Kibao, naomba mjiuzulu ili kulinda heshima yenu katika jamii na kama sehemu ya uungwana.
Yaani Raia wa Tanzania anatekwa na watu wanaojitambulisha kama police, tena mchana wa jua kali mbele ya abiria zaidi ya 60 anauliwa
Kazi yako ni kulinda Raia na mali zao, Sasa kama Raia wanauliwa kama nzi ndani ya nchi Yao, hapo nyie kazi yenu ni ipi na mishahara ya Kodi zetu mnakula za Nini? Kama hamtimizi majukumu yenu
Tanzania ni yetu sote,
Wote tunaipenda nchi yetu
Hao watu wamepata wapi bunduki na Risasi