HAYA YANA SANCTION YA MAMLAKA KUU YA NCHI HII YA kIFALME. HAO WAACHENI WANA MAAGIZO YA mFALMEKwa jambo la kutekwa na kuuawa Mzee Kibao, naomba mjiuzulu ili kulinda heshima yenu katika jamii na kama sehemu ya uungwana.
Yaani Raia wa Tanzania anatekwa na watu wanaojitambulisha kama police, tena mchana wa jua kali mbele ya abiria zaidi ya 60 anauliwa
Kazi yako ni kulinda Raia na mali zao, Sasa kama Raia wanauliwa kama nzi ndani ya nchi Yao, hapo nyie kazi yenu ni ipi na mishahara ya Kodi zetu mnakula za Nini? Kama hamtimizi majukumu yenu
Tanzania ni yetu sote,
Wote tunaipenda nchi yetu
Hao watu wamepata wapi bunduki na Risasi
Kangi Kugola alipojiuzulu je?Kwa jambo la kutekwa na kuuawa Mzee Kibao, naomba mjiuzulu ili kulinda heshima yenu katika jamii na kama sehemu ya uungwana.
Yaani Raia wa Tanzania anatekwa na watu wanaojitambulisha kama police, tena mchana wa jua kali mbele ya abiria zaidi ya 60 anauliwa
Kazi yako ni kulinda Raia na mali zao, Sasa kama Raia wanauliwa kama nzi ndani ya nchi Yao, hapo nyie kazi yenu ni ipi na mishahara ya Kodi zetu mnakula za Nini? Kama hamtimizi majukumu yenu
Tanzania ni yetu sote,
Wote tunaipenda nchi yetu
Hao watu wamepata wapi bunduki na Risasi
ni muhimu zaidi kua wastahimilivu na wenye subra wakati mamlaka husika zikishukhulika na mambo haya 🐒Kwa jambo la kutekwa na kuuawa Mzee Kibao, naomba mjiuzulu ili kulinda heshima yenu katika jamii na kama sehemu ya uungwana.
Yaani Raia wa Tanzania anatekwa na watu wanaojitambulisha kama police, tena mchana wa jua kali mbele ya abiria zaidi ya 60 anauliwa
Kazi yako ni kulinda Raia na mali zao, Sasa kama Raia wanauliwa kama nzi ndani ya nchi Yao, hapo nyie kazi yenu ni ipi na mishahara ya Kodi zetu mnakula za Nini? Kama hamtimizi majukumu yenu
Tanzania ni yetu sote,
Wote tunaipenda nchi yetu
Hao watu wamepata wapi bunduki na Risasi
Yameanza leo au jana?ni muhimu zaidi kua wastahimilivu na wenye subra wakati mamlaka husika zikishukhulika na mambo haya 🐒
nadhani ungerilax kwanza,Yameanza leo au jana?
Ni sawa ila Masauni ana uwezo wa kuzuia kama ni majambazi waliomteka?Kwa jambo la kutekwa na kuuawa Mzee Kibao, naomba mjiuzulu ili kulinda heshima yenu katika jamii na kama sehemu ya uungwana.
Yaani Raia wa Tanzania anatekwa na watu wanaojitambulisha kama police, tena mchana wa jua kali mbele ya abiria zaidi ya 60 anauliwa
Kazi yako ni kulinda Raia na mali zao, Sasa kama Raia wanauliwa kama nzi ndani ya nchi Yao, hapo nyie kazi yenu ni ipi na mishahara ya Kodi zetu mnakula za Nini? Kama hamtimizi majukumu yenu
Tanzania ni yetu sote,
Wote tunaipenda nchi yetu
Hao watu wamepata wapi bunduki na Risasi
Me ninachojua ile press ya mbowe kusema wanawatu wanawapa taarifa watu wao wakitekwa wanapelekwa wap ma majina anayo atawataja wanaowateka na ukizingatia mzee kibao alikuwa JWTZ tena nasikia kitengo cha MI apo alikuwa tayar kauza ramani ya vitaKwa jambo la kutekwa na kuuawa Mzee Kibao, naomba mjiuzulu ili kulinda heshima yenu katika jamii na kama sehemu ya uungwana.