Waziri wa Masauni, waziri wa mambo ya ndani na IGP tunaomba mjiuzulu ili kulinda heshima zenu

ni muhimu zaidi kua wastahimilivu na wenye subra wakati mamlaka husika zikishukhulika na mambo haya πŸ’
Hujawahi kuuliwa baba mama mke au mtoto
Kama huwezi kupaza sauti dhidi ya huu ukatili basi nyamazatu mkuu
 
Hujawahi kuuliwa baba mama mke au mtoto
Kama huwezi kupaza sauti dhidi ya huu ukatili basi nyamazatu mkuu
kama ambavyo jeshi la police limetoa wito kwa yeyote yule mwenye taarifa sahihi dhidi ya unyama alietendwa kamanda Ally Kibao, basi watoe taarifa panapohusika hatua stahiki zichukuliwe dhidi ya wale wote wanaohusika na udhalimu huo wa kibinadamu ....

aidha,
ni dhuluma kwa muungwana Ally Kibao, ikiwa utaficha taarifa sahihi na ukweli kuhusu yoyote aliehusika kutenda kitendo cha kinyama alichotendewa Ally.
Siku ya mwisho mbele za haki utaulizwa...

R.I.P kamanda Ally Kibao 🀭
 
ni muhimu zaidi kua wastahimilivu na wenye subra wakati mamlaka husika zikishukhulika na mambo haya [emoji205]
Ustahimilivu unahitajika wakati huu ili wauaji waendelee kuchambua majina ya wanaofuatia kutekwa na kuuawa. Subra ni muhimu kwani watekaji lazima wapate muda wa kuandaa Pori la kuwatupa wahanga waliouliwa na tindikali ya kuharibu miili yao. Mamlaka husika lazima ifanye kwa uangalifu kazi hii ya kusafisha wapinzani wa CCM ili kelele zipungue mjn. Umesema vzr sn.
 
mihemko, ghadhabu, makasiriko na ushirikina viendelee kukusaidia kufanya mzaha kwenye mambo serious na ya msingi wakati watu wako kwenye maombolexo na majonzi makubwa...

R.I.P kamanda Ally Kibao 🀭
 
Leo upo unafurahia kifo cha Mzee Kibao
Kisa maslahi yako na hicho Chama chakavu
Lakini kumbuka na wewe utakufa
 
Leo upo unafurahia kifo cha Mzee Kibao
Kisa maslahi yako na hicho Chama chakavu
Lakini kumbuka na wewe utakufa
we nyamaza tu na ubaki kimya na taarifa za kweli , sahihi na za uhakika za kifo cha kinyama cha Mzee huyu asie na hatia,

kumbuka unasaidia kudhulumu haiki na stahiki za Mzee huyu mnyonge,

nakuhakikishia,
siku ya mwisho mbele za Mungu utaulizwa 🀭

R.I.P kamanda Ally Kibao
 
Yaani we Kwa akili yako unadhani taarifa hizo police hawana
Yaani hapa Tanzania tena Dar mtu ateke basi Kwa bunduki na pingu mbele ya polisi wampeleke Ununio na vyombo vya usalama vimelala havina taarifa.
Basi hapa itakuwa sio sehemu salama tena
 
Kujiuzulu si utamaduni wa nchi hii, wako tayari kutumbuliwa no matter how much wanazingua
 
Kuna mambo tunaongea tuuu ila kwa Africa au Tanzania ni ngumu mnoo kutokea
Hivi nani ushaona ofisi yake ilipaywa(Inaonekana uzombe) Alafu akajiuzulu kw kukiri kashindwa itumikia Ofisi kwa usahihi.. Nadhani niliona kwa Lowasa Ila sina kumbukumbu kuna ashawahi hicho kitu.

Ni Kupiga kelele tuu kw kitu ambacho hakiwezekani kabisa kwa nchi dunia ya tatu
 
Yaani we Kwa akili yako unadhani taarifa hizo police hawana
Yaani hapa Tanzania tena Dar mtu ateke basi Kwa bunduki na pingu mbele ya polisi wampeleke Ununio na vyombo vya usalama vimelala havina taarifa.
Basi hapa itakuwa sio sehemu salama tena
ni muhimu ukajitenga na mihemko,

kwasabb huko ni kama kusaidia kupoteza na kuharibu haki na stahiki za kamanda Ally Kibao..

Taarifa za kutekwa kwa kamanda Ally Kibao kwa wakati muafaka sana officially ilitoka chadema HQ, right?

na vile vile,
skia vizuri hapo, na vile vile Taarifa za kifo cha kamanda Ally Kibao tena kwa wakati muafaka sana, vile vile ikatoka officially chadema HQ, right?🀭

huu ni muujiza au planned actions?

R.I.P kamanda Ally Kibao
 
Alitekwa hadharani mchana
Gari zinasemeka ni police zili block bus wamakamkamata wakafunga pingu na traffic akiwepo seat ya mbele
Yaani watekaji wateke basi mchana na traffic asitoe taarifa Kwa wakubwa zao
 
Achana na huyo chawa muovu...mikono yake inanuka damu na hivi sasa roho yake inamsuta!
 
Alitekwa hadharani mchana
Gari zinasemeka ni police zili block bus wamakamkamata wakafunga pingu na traffic akiwepo seat ya mbele
Yaani watekaji wateke basi mchana na traffic asitoe taarifa Kwa wakubwa zao
huu sio mzaha gentleman,

ni muhimu sana informa, narudia tena infoma, na hata kama ni wewe ndie uliambatana na mateka aliefungwa pingu, sijui mpaka mpaka wapi itakubidi uelezee vizuri,

na kitu gani kikatendeka kwake, na kwanini taarifa za katikakati unazificha?

there is no escape room on this my friend, lazma mueleze ukweli fairly and squarely 🀭

R I.P kamanda Ally Kibao japo kuna wanaokuchezea ukiwa haupo kama walivyokudhulumu uhai wako
 
Hilo jambo ni gumu sana kwa Waafrika
 
Hao unawaonea Bure, tatizo liko kwa bibi yenu, anafikiri kutisha watu ndio kushinda uchaguzi, kwa bahati mbaya mwakani Raisi atakuwa mwanaume.
 
Hao unawaonea Bure, tatizo liko kwa bibi yenu, anafikiri kutisha watu ndio kushinda uchaguzi, kwa bahati mbaya mwakani Raisi atakuwa mwanaume.
Una hoja mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…