Hao Viongozi wa Afrika walipokutana Addis Ababa, Ethiopia kuna jambo lolote la maana limetokea?
Au walivyokutana Dar, Viongozi wa SADC na EAC kuna lolote la maana walifanya? Au walikunywa juice tu?
Acha Mzungu awe Mzungu maana anajua hakika namna ya kuchukua hatua. Hacheki na Nyani anafanya kweli. Nyie endeleeni kuchekeana na kufurahisha genge.