Waziri wa Masuala ya Afrika Mashariki wa Rwanda awekewa vikwazo na Marekani. Mungu wabariki wazungu, Mungu mbariki Trump!

Waziri wa Masuala ya Afrika Mashariki wa Rwanda awekewa vikwazo na Marekani. Mungu wabariki wazungu, Mungu mbariki Trump!

Hao Viongozi wa Afrika walipokutana Addis Ababa, Ethiopia kuna jambo lolote la maana limetokea?

Au walivyokutana Dar, Viongozi wa SADC na EAC kuna lolote la maana walifanya? Au walikunywa juice tu?

Acha Mzungu awe Mzungu maana anajua hakika namna ya kuchukua hatua. Hacheki na Nyani anafanya kweli. Nyie endeleeni kuchekeana na kufurahisha genge.
Baba wa familia akiwa na migororo ndani ya familia yake, vikiitishwa vikao vya ndugu kuja kusuruhisha, halafu vikao vyote huyo baba akila kona inaelewekaje?

Mwisho wa siku ndugu wote watakuachia upambane mwenyewe na majanga yako.

Btw maazimio vikao vyote Africa imekuwa Ceasefire, hata huko kwa wazungu hajapata jipya, wamesema suruhu ni Ceasefire.
 
Back
Top Bottom