Lkn pia us ya Trump si ya kuamini.Huyu Mzee vikwazo vikimwingia sawasawa atalegea tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lkn pia us ya Trump si ya kuamini.Huyu Mzee vikwazo vikimwingia sawasawa atalegea tu
Kwani wewe unaishi Malawi? Una macho huoni!!Anajenga nchi ipi?
Bila shaka wewe ni mtoto wa mwaka elfu mbiliTrump ni kichwa pumbu tu...
Hao ndio kina nani?
Sijawahi kuwasikia tokea vita imeanza, kwanini sio Kagame?
waarab wakorofi. wana ardhi kubwa sana ila bado wanaungana kupigania ardhi sawa na vijiii 10Mfadhili mkuu wa mauaji ya Waarabu huko Middle East ni nani?
Baba wa familia akiwa na migororo ndani ya familia yake, vikiitishwa vikao vya ndugu kuja kusuruhisha, halafu vikao vyote huyo baba akila kona inaelewekaje?Hao Viongozi wa Afrika walipokutana Addis Ababa, Ethiopia kuna jambo lolote la maana limetokea?
Au walivyokutana Dar, Viongozi wa SADC na EAC kuna lolote la maana walifanya? Au walikunywa juice tu?
Acha Mzungu awe Mzungu maana anajua hakika namna ya kuchukua hatua. Hacheki na Nyani anafanya kweli. Nyie endeleeni kuchekeana na kufurahisha genge.