Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Kufatia kauli ya Waziri wa Michezo Mh. Ndumbaro kuwa watawashughulikia wale wote watakaokwenda kuwapokea na kuwashangilia timu pinzani nje na Tanzania ni uamuzi wa kupigwa vita kwani unaenda kuua soka na hata uchumi wa timu zetu.
Imagine mashabiki wananunua jezi za timu pinzani na hata kuingia uwanjani sababu ya huo upinzani je, hakuna faida ya kiuchumi inayopatikana?
Tanzania ni kivyetu vyetu ushindani wetu ndiyo soka letu na kukua kiuchumi hivyo hawa jamaa wanatakiwa kulaaniwa kauli zao kabla ya kuwa terrible.