Waziri wa Michezo anataka kuua uchumi katika tasnia ya michezo, tujitokeze kulaani kauli zake

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,340
Reaction score
4,659
Kufatia kauli ya Waziri wa Michezo Mh. Ndumbaro kuwa watawashughulikia wale wote watakaokwenda kuwapokea na kuwashangilia timu pinzani nje na Tanzania ni uamuzi wa kupigwa vita kwani unaenda kuua soka na hata uchumi wa timu zetu.

Imagine mashabiki wananunua jezi za timu pinzani na hata kuingia uwanjani sababu ya huo upinzani je, hakuna faida ya kiuchumi inayopatikana?

Tanzania ni kivyetu vyetu ushindani wetu ndiyo soka letu na kukua kiuchumi hivyo hawa jamaa wanatakiwa kulaaniwa kauli zao kabla ya kuwa terrible.
 
Wanasimba roho imewaumaaa

Aahaaaa
 
Jamani watanzania tuamke. Yaan wiki mbili nzima ni Ndumbaro Ndumbaro, alafu unaweza Kuta alikaa na wahuni wengine wakamwambia ropoka hivi ili utrend kipindi hiki na sisi tukaingia mkumbo. We vaa jezi hakuna wa kukuzuia
Alitaka tu naye atrend si unajua wanasiasa wetu wanapenda kushindana na kina Mwijaku kutrend. Wakiona msanii anatrend wanaona kama wamefunikwa, wanaliamsha. Sasa hivi wameona Wakiona Simba au Yanga zinatrend sana wanaiba nyota
 

Ni aibu sana kwa nchi kuwa na Waziri aina ya Ndumbaro. Ni aibu zaidi kusikia Ndumbaro ni msomi wa sheria, tena mwenye PhD.

Nadhani pia ukiona mtu anatolewa wizara nzito na kusukumwa kwenye michezo, huyo ni mzigo na anatafutiwa njia ya kutokea.
 
MPira ni mashabiki na ushindani sasa mpira gani huo mtu anatupangia tumzomee nani na tumshabikie nani? Hiyo siyo kazi ya serikali , waziri alisahau majukumu yake
 
MPira ni mashabiki na ushindani sasa mpira gani huo mtu anatupangia tumzomee nani na tumshabikie nani? Hiyo siyo kazi ya serikali , waziri alisahau majukumu yake
anafeli sana
 
Taya
Tayari CAF wameskia figisu za Serikali, tuombee lisitokee baya
 

Attachments

  • IMG-20240323-WA0039.jpg
    86.9 KB · Views: 2
bongo tunaelimu au tunajifunza kukariri tu,
Mpira Ni burudani na kwenye hizi Zama za ""FOOTBALL GLOBALIZATION""

Huwezi lazimisha mtu ashangilie asicho kipenda..

Yaan pesa nitafute mwenyewe tickets nauli bado jearsy alaf unipangie usishabikie timu hii shabikia timu hii..

Bagoshaa πŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜…πŸ˜… si ungi mkono hoja ya ndumbaro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…