Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Rwanda hawana tabia ya kuendekeza ujinga kama huuuu
N KANCHI kadogo lakini hakajawahi kukoseankunfundisha adabu pale anapokosea
Mpaka sasa nilitakiwa kuona MH WAZIRI WA MICHEZO akiwa amejiuuxulu na KUOMBA radhi kwa UPUUXI WA TFF na BODI take uliotokea
Else anatakiwa awe ameshafyrka Ile BODI ya tff wakafie mbali wakafanye michezo yao ya kupiga Dili kwenye MICHEZOOO
Niwajuze tu Simba na YANGA Ile BODI inatengenexa helà NYINGI sana msione wapuuzi wameweza KURUDISHA wananchi zaidi ya 3000 mikoano walipotokea sio wajinga
Walioangalia wakaona pesa zilizopatikana so far aziko na MSAADA kwaooo
KUNA KIPINDI kuna Katibu WA tff MMOJA mnene alikuwa akilewa anakwambia kila mechi ya Simba na yangalaxima ajenge ama anunue gari la kifahari
Hawa watu hawafanyi kwa bahati mbaya wakati muafaka sasa WAZIRI HUSIKA kutimua hii BODI ama ajiuzulu
Else TUNAOMBA mama Samia tupatie waziri mwingine HUSIKA mwenye uwezo na mamlka
Ya kukemea ushenzi kama ushenzi uliofanyika Jana na BODI ya LIGI
Hii n kuzalilisha WATANZANIA na wananchi woteee
Hivii hawao wahuni
WANAJUA watanzania wametumia sh ngapi Toka mkoani
.wamelipia lodge sh ngapi
Wamekata TKT za ndege kuhairisha WANAJUA gharama za kubadili TKT
Haya yote n mambo ya kijinga na kipumbavu
Unakuta watu Wana degree zaoo sijui wamepataje ama ndio wamepelekewa mnajibu nyumban WA pste wanaitwa kwenye graduation
Shame n them wote n mambo ya AIBU SANA hili soka alitakaa liendeelee kamwe