Waziri wa Michezo Mchengerwa acha kutufokea wanamichezo wa Tanzania

Waziri wa Michezo Mchengerwa acha kutufokea wanamichezo wa Tanzania

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Leo ni mara ya pili GENTAMYCINE nakuona kila ukipewa nafasi ya kuhutubia katika hafla za kimichezo huwa unapenda mno kufoka na kutufokea wanamichezo wa Tanzania.

Hiyo wizara wamepita watu (Mawaziri) wazuri kukuzidi na kufanikiwa kwa utendaji wao kiufanisi na hakuna hata siku moja waliwahi kutufokea (kutubwekea ) hovyo kama ufanyavyo wewe.

Badilika japo wewe ni Waziri wa hovyo wa michezo kuwahi kutokea katika historia ya Tanzania na binafsi kama GENTAMYCINE nisikufiche, sikukubali na nakuona hufai kuwa hapo.
 
Yanga wanalialia kwa serikali ili iwabebe.
Mpira unaonekana hadharani, Simba kufikia hapo ili hustle sana.
Bila kutegemea matamko ya viongozi
 
Back
Top Bottom