Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Hapo vipi!
Ninachoamini waziri wa michezo anauwezo wa kuingiliia jambo ambalo halipo vizuri na linaonekana kuvuruga au kuharibu vilabu zetu kubwa hususani Club ya Simba na Yanga.
Tukumbuke michezo hususani mpira wa miguu inauwezo wa kuitangaza nchi huko Duniani na watu wengi ulimwenguni wakafahamu pia fursa zilizopo katika nchi yetu kupitia michezo.
Hojo ya msingi ni kwamba katika kipindi hichi tumeona vurugu zilizopo kwenye club ya simba,vurugu ambazo zinaweza kuisababishia cluba hiyo kuporomoko na kushindwa kufanya vizuri katika viwango vya kimataifa .mfano club bingwa.
Vurugu hizi zimeonekana zikilalamikiwa na mashabiki na watu mbalimbali wenye mapenzi mema na Club ya Simba na soko kwa ujumla.
Vidole vya mashabiki na watu wengine wanaojua chanzo cha vurugu na hujuma iliyopo ndani ya club wamewaonyoshea videlo viongozi wa Simba husani kiongozi anayeitwa Mangungu na Try again na wamekuwa wakifanya juhudi kuwashinikiza wajihuzulu lakini wizara ya michezo ipo kimya kama vile hawana masikio.
Madhara ya hawa viongozi kugoma kujiuzulu kwa kiburi tumeona juzi pale uwanja wakati Simba wakicheza na Asec, washabiki walikuwa wachache sana na wacheza walikuwa wakicheza kama wana mgomo baridi lakini waziri amekaaa tu.
Waziri unauwezo wa kuwashauri hawa viongozi wajihuzulu ili kuleta Reformation ndani ya Club ya Simba kwa Maslahi ya Club na Taifa kwa ujumla.
Hao viongozi wanaogomo kujihuzulu kwa maslahi ya club au kwa maslahi binafsi?
Kama ni kwa maslahi binafsi basi hawafai na waziri unapaswa kuwashauri wajiuzu mapema na haraka kwa maslahi ya club na taifa kwa ujumla.
Haiwezekani viongozi fulani wanatwaja wao wao kila kona alafu unasema hawanasababu ya kujiuzulu.
Tunaomba usimuangushe Rais Samia,mfano juzi amesikia tuhuma za naibu waziri Paulina Gekul, akachukua hatua haraka, kwanini wewe waziri unakuwa mzito?